New BABU National Hospital

Picha hii imenisikitisha sana sana huyu mama na mumewe, inaonyesha wanapendana, hawa ni watanzania wenzetu waliokata tamaa.

 
Kwanini Waziri wa Afya anahangaika na Babu badala ya kusaka zile Pharmacy zinazouza madawa yaliyopitiliza muda wake?
 
Mbona hawazuii dawa za masai zinazouzwa ovyo mitaani,au mbona hawafanyii utafiti wa waganga wanaowapa dawa za ubunge na uwaziri?
 
Inawezekana serikali imasitisha huduma za Babu ili vigogo wapate nafasi ya kwenda bila bugudha wala watu kujua.
 
Serikali kama wkao serious wanatakiwa wawapima watu waliopewa dawa na babu kama inafanya kazi badala ya kuwakatisha tamaa wagonjwa mahututi ambao wamefika kwa babu kupata dawa kutokana na kukosa dawa kwenye hospitali za serikali.
 
Asante sana mkuu, badala ya serikali kumzuia hapa red cross/ crescent wangepeleka tents na mobile toilets ili mamboa yaende vizuri na huduma nyingine muhimu. Wingi wa watu ni kuonesha kuwa ni kwa jinsi gani wati tuna matatizo na tuahitaji ufumbuzi, hiyo rangi ya kijani ya mimea imenipa raha kwani inaonesha mtumaini. Vumbi la barabara lina nikatisha tamaa kwani linaonesha uduni wa maisha na ubovu wa miundo mbinu. Hiyo nyumba ya tope inaonesha kuwa tuanhitaji kufanya kazi ya ziada kujaribu kunyanyua maisha ya watu. Babu amefanya kazi nzuri twaweza kupinga (kwa maneno au matendo) au kukubali (Kwa imani)
 
kwa ukweli serikali isijaribu kuingilia uhuru wa mtu na imani yake,,,,,matibabu yao rasmi yamesindwa kumaliza kilio cha watu wengi ,hivyo wawaachie wachague matibabu mbadala ya bei nafuu,,,inatakiwa iwashauri watu waende kwa awamu kuepusha msongamani kama imeshindwa kuweka mahitaji ya uma kwa wakati mwafaka,,,,,
 
Msoropakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...uko juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom