CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,257
- 12,876
Nawasiwas unajisafisha.
i swear!
Nawasiwas unajisafisha.
Hahaha kumbe ndo majukwaa yako favourates eee
mbona mi ya sita inaniusu!!!!Sitegemei msichana yeyote kukubali kuwa katika tabia zilizo tajwa hapo kuna inay muhusu.
Sitegemei msichana yeyote kukubali kuwa katika tabia zilizo tajwa hapo kuna inay muhusu.
mbona mi ya sita inaniusu!!!!
me cna jaman mbna hvo!
teh teh teh!!! cnaga mimi hyo!!Naya tano!
Ya 6&5
FYI ya 5, hainihusu kbsa. cos 90% ya namba zilizopo kwny my 4n book nnazo kichwan!
teh teh teh!!! cnaga mimi hyo!!
Charm nilijua tuuu!
mi natembeaga na toothbrush!!!Piga ua hiyo usinge ikubali mpaka ukamatwe