never lose your phone again

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
wadau kuna software hii ya mobile phone inaitwa wave secure nimeona nisifaidi pekeyangu, hii kitu inaweza ikafanikisha kupatikana kwa simu yako kwa muda mfupi.
 
Wave sequre (old) sio progrm nzuri, sababu ina lock simu so nirahisi mtu ku falash simu. Zipo progrm za maana zaidi kuliko hiyo!
 
Back
Top Bottom