hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 853
- 2,037
Wakuu nawakumbusha tu, usidate girl ambaye hana heshima kwa mke wako.
Naomba kuwasilisha
Naomba kuwasilisha
BAKI NJIA KUU, MICHEPUKO SIO DILIWakuu nawakumbusha tu, usidate girl ambaye hana heshima kwa mke wako.
Naomba kuwasilisha
Siulizi Bei mkuu kunywa JOBO 4 nitalipaMwanaume mwenye mke/wake tusiwe na huu ushamba.
Kama umejisikia kuzini, tumia hata milioni kama ipo kulala na mwanamke unayemtaka, ukimaliza usitake kujua habari zake, mlipe aondoke zake.
Date na mkeo au wake zako, hao wengine kama unahitaji lipa ujiridhishe kisha achana nao. Kudate? Na una familia?
Shukraan boss.Siulizi Bei mkuu kunywa JOBO 4 nitalipa
We can't date our wives only, it's tiresome and boring. Allow us to date a few more girls.Never date if you are already married
Wakuu nawakumbusha tu, usidate girl ambaye hana heshima kwa mke wako.
Naomba kuwasilisha
Nini? Kwa hiyo hizo mbususu za mtaani Nani azifaidi??Mume wa mtu ni sumu , baki njia kuu
MhWe can't date our wives only, it's tiresome and boring. Allow us to date a few more girls.
Njia kuu kila siku inaumwa kichwaMume wa mtu ni sumu , baki njia kuu
Point kubwa kabsaMwanaume mwenye mke/wake tusiwe na huu ushamba.
Kama umejisikia kuzini, tumia hata milioni kama ipo kulala na mwanamke unayemtaka, ukimaliza usitake kujua habari zake, mlipe aondoke zake.
Date na mkeo au wake zako, hao wengine kama unahitaji lipa ujiridhishe kisha achana nao. Kudate? Na una familia?
Never date if you are already married