Network connection shows that it is connected but I try to go online "No network Access" shown

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
nimejaribu kutumia moderm tofauti za airtel, tigo, voda, na zantel but tatizo lipo palepale. napachomeka moderm ina detect device na network na ukiconnect ina inaonesha ipo connected lakini napojaribu kwenda online inagoma au inaleta DSN server not respondingau no internet access.
pia kwenye notification taskbar network icon inaonesha no network access.
leo ni siku ya3 hali ni ileile na tatizo hili lilianza baada ya kubadili antivirus nilikua natumia ESET SMART SECURITY nika weka Microsoft essential security nimejaribu ku uninstall na kuirudishia ya mwanzoni but tatizo ni palepale.
 
connect, fungua command prompt, andika ipconfig/all
pia jaribu ping 8.8.8.8
 
connect, fungua command prompt, andika ipconfig/all
pia jaribu ping 8.8.8.8
nimejaribu bt now kwenye taskbar icon inaonesha network access lakini nnapo enda online inagoma hairespondi chochote


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom