Netanyahu kufanyiwa upasuaji wa ngiri,huku usajili wa askari kupigana Gaza ukianza kuwa mshike mshike.

Muda Huu

❗️ Israel government approved operational plans for offensive in Rafah, elimination of remaining Hamas battalions there necessary for victory, Netanyahu says



Operesheni Safisha Rafah, Imepitishwa na huyo unayesema anafanyiwa upasuaji.

Subiri kichapo
 
Dunia haitakiwi kuruhusu UISLAM kua wa itikadi Kali.


Urusi wenyewe wakati wa Usovieti waliacha Jimbo la Chechen kua la msimamo Mkali baadae wakaipata pata.

Putin anashika madaraka akaamua kutembea kichapo, mpaka Leo Kuna Kuna UISLAM legelege.


WACHINA ndo kabisaa hawataki kusikia .



Hata hiii Zanzibar, naliona kosa kubwa la kuacha Nchi hii kufungamana zaidi na Nchi za Kiislam ,wakati Zanzibar ni Ardhi ya Tanzania .

Usalama wa Taifa wasiruhusu Suala hili liendelee kushamiri.
 
Trump akiwa Rais wa Marekani hawa magaidi wote watamchukia kuliko maelezo. Trump ni ama aanzishe vita kali iliyo na intensity, au asianzishe kabisa, sio mtu wa vuguvugu.
Hata kwa Urusi na Ukraine, ni ama vita iishe haraka au harakati za vita ziongezeke maradufu.

Haitokaa itokee Rais wa Marekani apendwe na Hamas. Bora Biden ni mzembe na mnyonge, awe ni Bush Jr. umletee upuuzi si unakula jeuri yako.
Rais Marekani hata aje nani hawezi kupambana na uislam. Ataishia kuumwa ngiri au tezi dume. Maradhi ya watu maskini dunani wanaumwa wao
 
Muda Huu

❗️ Israel government approved operational plans for offensive in Rafah, elimination of remaining Hamas battalions there necessary for victory, Netanyahu says



Operesheni Safisha Rafah, Imepitishwa na huyo unayesema anafanyiwa upasuaji.

Subiri kichapo
Bwana wako anajidanganya tu. Ashapsua ngiri?
 
Muislam akifa au akiua kafiri kama wewe ktk kupigania haki yake basi peponi. Tofauti na kafiri. Kwa hivyo Muislam hapotezi kitu. Hata unaeshabikia utakufa pengine kuuliwa na majambazi. Jihonee huruma ukifa ukiwa kafiri
Lidini la Mchongo na tutaendelea kuwachapa tu.


Kuna miaka Ile ya SIX DAYS WAR, waislam wa mataifa yote mkaungana Et mpambane na Taifa teule la Mungu ,kudadekiiiiii kichapo kile hamtakisahau 😅😅😅.
 
Lidini la Mchongo na tutaendelea kuwachapa tu.


Kuna miaka Ile ya SIX DAYS WAR, waislam wa mataifa yote mkaungana Et mpambane na Taifa teule la Mungu ,kudadekiiiiii kichapo kile hamtakisahau 😅😅😅.
Jionee huruma ukifa ukiwa kafiri. Muislam akimua kafiri au akiuliwa yeye akiwa anapigania haki yake huyo peponi. Wakuonewa wewe kafiri. Ukifa motoni makazi yako
 
Imeelezwa kuwa kiongozi wa Israel,Benjamin Netanyahu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ngiri muda wowote kuanzia kesha.
Kesho hiyo hiyo mwanasheria mkuu wa serikali anatarajiwa kusaini sheria ya kuwalazimisha wayahudi wa msimamo mkali kuingizwa jeshini kwa lazima.
Mayahudi wa mrengo huo pamoja na kuwa na uhasidi na wapalestina lakini hawako tayari kuingia jeshini kwenda kupigana na Hamas.
Haijafahamika kwa uwazi kwanini sheria ya kulazmisha usajili jeshini unaoanza sasa umetokana na nini.Jee ni kutokana na askari wengi kufa na kuumia au ni kuanza kukimbia kwa baadhi ya askari hao au imetokana na nini hasa.

Netanyahu to have hernia surgery under full anesthesia, deputy PM to temporarily step in

Mungu amsaidie, cha kushukuru Israel ina hospitali kubwa sana, na madaktari wakubwa sana.
 
Jionee huruma ukifa ukiwa kafiri. Muislam akimua kafiri au akiuliwa yeye akiwa anapigania haki yake huyo peponi. Wakuonewa wewe kafiri. Ukifa motoni makazi yako
Eehh peponi Kwa mabikra ?? Basi nasisi Wayahudi tukiwaua waislam, ndo mtuliee,

Mmeua Wayahudi 1267.. tumewaua zaidi ya elfu kumi Tano...
Yaan mpaka mkubali.

Sahizi tunawapiga Kwa utapiamlo, tumeblok Gaza hamna kutoka Wala kuingiaaa.

Huyo Muhammad wenu awaokoe Sasa.
 
Eehh peponi Kwa mabikra ?? Basi nasisi Wayahudi tukiwaua waislam, ndo mtuliee,

Nmekua Wayahudi 1267.. tumewaua zaidi ya elfu kumi Tano...
Yaan mpaka mkubali.

Sahizi tunaeapiga Kwa utapiamlo, tumeblok Gaza hamna kutoka Wala kuingiaaa.

Huyo Muhammad wenu awaokoe Sasa.
Jiangalie ukifa nje ya uislam wewe kuni utakuwa.
 
Hizi nyuzi nafikiri znakuwa na lengo la kuleta mabishano kwan mtoa uzi anakuwa ashakuwa na upande tayari ambao wachangiaji wengine wanaweza kutokukubaliana nae

Haya mambo ya dini yana ugumu mkubwa kila mmoja anaamini Mungu wake cha kushangaza wote mnashea shetani mmoja

Msingi wa dunia kuwa sehemu salama ni kujali utu na si vitu vilivyo juu ya utu
 
CNN ni Jews 100%.

Labda kama unazungumzia CNN ya vingunguti
ndiiyo maana nakuita wewe punguani CNN ndiyo wametoa habari za Netanyau kufanyiwa upasuaji na kawekewa kifaa kwenye moyo hizo habari nimekuletea umesema uongo.
 
Sina uhakika wa Chanzo chako Cha habari.

Ila nyie jamaa mna ujinga mwingi, kwahiyo hapo habari mbaya ni upasuaji wa hernia,?.


Netanyau anafanya Ethnic cleansing , subiri DONALD TRUMP achukue USA....mtakubali

Si aliishia kwa Kunifanya Jerusalem kua mji mkuu wa Israel?.

Jiandaeni, safari hiii anabomoa Msikiti wenu wa Al Aqsa
Waislamu tatizo
 
Back
Top Bottom