Netanyahu: Jerusalem Hautagawanywa!

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni maana ukweli uko palepale na mipaka ya nchi ya Israel uliwekwa na Mungu mwenyewe na kulingana na Biblia kama mipaka hiyo ikifuatwa sawasawa utaona kuwa baadhi ya nchi kama Jordan, Syria na baadhi ya maeneo ya Iraq yanatakiwa kuwa Israel sasa hapo tuseme ukweli nani mvamizi wa eneo la mwenzake? Na zaidi sana inajulikana watoto wa Ibrahimu walipewa maeneo yao na kizazi cha Yakobo kikapoteza na kwenda Misri lakini walikuja kurudia baadaye kwa kupigana vita na kukomboa baadhi ya maeneo ambayo leo waarabu wanadai ni yao! Ila kama huamini ni hivi kulingana na maandiko matakatifu ni kuwa hata msikiti wa Dome of Rock utakuja kuvunjwa kama tukiwa hai tutashudia machafuko sana ambayo yanaweza kuepukwa kwa kuangalia historia ya miji yenyewe

nona malumbano ya WATUMWA wakitetea mipaka ya MABWANA ZAO.........
hapo zamani za kale, palikuwa na viongozi wenye nguvu sana katika maeneo tofauti ya TANGANYIKA. kwa uchache tu, alikuwepoMKWAWA.MIRAMBO,KIMWERI nk. HAWA VIONGOZI TOKA MAKABILA MBALIMBALI walikuwa na nguvu na uwezo mkubw wa kupanga,,kutekeleza,,,,......................
vp jamani napindisha mada???? nadhani huu ndio uzalendo
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni maana ukweli uko palepale na mipaka ya nchi ya Israel uliwekwa na Mungu mwenyewe na kulingana na Biblia kama mipaka hiyo ikifuatwa sawasawa utaona kuwa baadhi ya nchi kama Jordan, Syria na baadhi ya maeneo ya Iraq yanatakiwa kuwa Israel sasa hapo tuseme ukweli nani mvamizi wa eneo la mwenzake? Na zaidi sana inajulikana watoto wa Ibrahimu walipewa maeneo yao na kizazi cha Yakobo kikapoteza na kwenda Misri lakini walikuja kurudia baadaye kwa kupigana vita na kukomboa baadhi ya maeneo ambayo leo waarabu wanadai ni yao! Ila kama huamini ni hivi kulingana na maandiko matakatifu ni kuwa hata msikiti wa Dome of Rock utakuja kuvunjwa kama tukiwa hai tutashudia machafuko sana ambayo yanaweza kuepukwa kwa kuangalia historia ya miji yenyewe
mmmmmmmmhn !! humu kuna wachovu wa kufikiri? hivi mipaka ya Tanzania hii tunayojivunia na yenyewe ilichorwa na mungu au shetani?
 
Kooote unazunguka zunguka tuu! lakini nia yako ni kuonyesha chuki yako juu ya Uislaam ! Mwenyezi mungu atatuhukumia siku hiyo baina yetu na yako!
Quran, Baqara 73-75.
" Na wanaposomewa Aya zetu zilizo wazi, husema wale waliokufuru kuwaambia wale walioamini: Lipi katika makundi mawili (sisi na nyinyi) lina makao mema? na lenye watu walio watukufu?"
" Na Karne ngapi tumeziangamiza kabla yao ? (nyie wa sasa). (Karne) zilizokua na mapambo mazuri na mandhari nzuri zaidi?"
" Sema: Ni wa walio katika upotofu, basi Mungu Mwingi wa rehema atawazidishia muda mpaka wayaone walioonywa, ama ni adhabu au ni saa ile (siku ya Kiama). Hapo ndipo watajua ni nani mwenye makao mabaya na mwenye askari dhaifu!."
ipo finali mzee usiwe na wasiwasi!

Mungu Yupi? Please be specific!!!. na Acha kunitishia na Hayo Mashairi unapoandika, sijui yametungwa na nani!!!

Yaani wewe unataka Waarabu wakivurunda na kufanya madudu wasisemwe? Kwanini unataka kuficha ukweli? Unadhani hao waarabu ndio wanaostahili kuua tu wenzao bila kuwa responsible?
 
Bwana mkubwa wako marehemu Muhammad alidai kwamba hajui ataenda kufanywa nini huko Jehanamu kwa maovu yake wala hajui ninyi mtaenda kufanywa nini katika Quran 46:9 "Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi..."
Mgalatia huwezi kukijua kitabu cha Mwenyezi Mungu wakati Baibo yenyewe huelewi! ungeiandika aya yote kama ilivyo!
Hebu soma hapa Mwenyezi Mungu anasemaje: QURAN, HUJURAT 7:
" Na jueni ya kwamba mtume wa Mwenyezi Mungu yu pamoja na nyie. Lau yeye angekutiini mambo mengi bila shaka angetaabika. Lakini Mwenyezi Mungu ameupendezesha kwenu Uislaam na ameupamba nyoyoni mwenu, na amekufanyeni mchukie ukafiri na ufasiki na uasi. Hao ndio Walioongoka (okoka)"
" Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja nae ni wenye nyoyo thabiti mbele ya makafiri na wenye kuhurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama kwa kurukuu na kusujudu (pamoja), wakitafuta fadhila za Mwenyezi Mungu na radhi (yake). Alama zao zi katika nyuso zao, kwa taathira, (athari) ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Tourat. Na mfano wao katka Injil. Kuwa wao ni kama mmea uliotoa matawi yake; kisha matawi yake yakautia nguvu; ukawa mnene ukasimama sawasawa juu ya kigogo chake, ukawafurahisha walioupanda, ili uwakasirishe makafiri kwa ajili yao. Mwenyezi Mungu amewaahidi walioamini na kutenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa." QURAN, Al Fat'h 48:29

Tuliepamoja na Muhammad s.a.w, tumeahidiwa msamaha na ujira mkubwa! mfano wetu sie (Waislaam) tumo katika Tourat na Injil (ungeijua Baibo ungaliyajua haya!)
 
Mungu Yupi? Please be specific!!!. na Acha kunitishia na Hayo Mashairi unapoandika, sijui yametungwa na nani!!!

Yaani wewe unataka Waarabu wakivurunda na kufanya madudu wasisemwe? Kwanini unataka kuficha ukweli? Unadhani hao waarabu ndio wanaostahili kuua tu wenzao bila kuwa responsible?
Niliwahi kukupa aya kuhusu ukabila, ukajifanya hamnazo ................ sasa unapozungumzia Uislaam na uarabu sijui una lengo gani ! Waarabu ni watu, na Uislaam ni Dini (tumeumbwa rangi na kabila tofauti ili tujuane tu, na aliye bora ni yule amchae mungu), hivyo jenga hoja sawasawa.
" Mwenyezi Mungu anasema kulikuwa na watu jeuri na kiburi na waliofanikiwa kuliko wewe, leo hii wako wapi? kwa hiyo makuwepo kuwepo ili muendelee kujichumia ujira wenu, lakini marejeo ni kwake! hatishwi mtu, kwa nini uogope mashairi?" utalipwa haki yako siku hiyo!
 
Jerusalemu haiwezi na haitaweza kugawanywa kamwe.Huo ni mji mkuu wa Israel bila ubishi wowote.
 
yuko busy na issue gani? mbona hilo swala liko wazi kabisa si kwa obama tu bali kwa Dunia nzima inalijua hilo kuwa bila Jerusalem hakuna amani katika hii dunia. n UJUE KUWA HAPO HAPO ndio tunasubiri vita kuu ya mwisho ambayo mataifa ya Kiarabu yataunga'nag'ania kama wanavyosema kwa sasa wakati WAISRAELI Hawatakubali kamwe, hapo kutakuwa na vita kubwa ambayo haijawahi kutokea hata zile za kwanza na za pili hazifiki kwa vita hii.
Usiyejua utalopoka maneno mengi sana kuhusu Israel ,lakini wanaojua hilo wala hawana haraka kabisa mana wanasubiria tu mda ufike ili wakapumzike.ATAKAYE ILAAANI ISRAEL ATALAANIWA PIA, NA ATAKAYE IBARIKI ATABARIKIWA PIA.Kwani unadhani viongozi wengi wakubwa hawaoni yanayotokea Israel na Palestina? kwani wangeshiondwa kuwaingilia na kuwanyamazisha? SIO WAJINGA wanajua sana kuwa LILE TAIFA HALIGUSIKI KWA SASA hadi wakati ukifiki kama ilivyotabiriwa.
Kamwambie OBAMA maana ndio yuko bize na hii issue!
 
Waisrael wana bahati sana! wamemuwamba MUNGU wako kwenye misonobari halafu bado unajiandaa kuwatukuza! aiseeh!View attachment 19413
 
Back
Top Bottom