Neno 'naumia' wakati wa tendo la ndoa

mbona hasira mtoto mzuri!

jipe raha mwenyewe bibie..!

hahaaa.. chezea mabonge wewe!

464.jpg

Jamaa nimemwonea wivu
 
baba wara wasikidanga kwa maana wote walio kushauli naona hamna hata mmoja wetu mwenye upeo mkubwa wa mambo hayo ila.!? mambo hayo kweli ni yapo na yanawatokea wanawake wengi tu,nilisha wahi kuonaga kipindi kimoja cha love clinik au afya chek. dr ambaye aliyekuwa anfanya kipindi cku hiyo aligusia kitu hicho,kwa kumbu kumbu zangu alisema tatizo hilo hutokana na homon kivulugika katika mpangilio wake,kwahiyo humpelekea mwanamke hanapofanya sex husikia maumivu makali na kuto furahiya tendo...so huyo mpenzi wako anaumia kweli na wala sio swaga wala kutaka kukuibia,kama kweli bado wampenda na unamipango naye..! mimi nakushauli nenda humtafute dokta anayejua mambo hayo kama dokta izaki wa clouds tv na radio na wengineo wanaoyajua mambo hayo utapata msaada mkubwa kuliko kutuuliza sisi ambao hatuna ujuzi huo.........!! kwa mengine ni pm nikushauli..
 
Aisee leo kinababa kunani,afu malalamiko mengi ni ya kitandani

Kungekuwa na mahakama ya mapenzi...
 
Kwakifupi nihivi:-
Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangazi yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wakuu

Nakushauri kamuulize shemeji yetu atusaidie jibu!
 
baba wara wasikidanga kwa maana wote walio kushauli naona hamna hata mmoja wetu mwenye upeo mkubwa wa mambo hayo ila.!? mambo hayo kweli ni yapo na yanawatokea wanawake wengi tu,nilisha wahi kuonaga kipindi kimoja cha love clinik au afya chek. dr ambaye aliyekuwa anfanya kipindi cku hiyo aligusia kitu hicho,kwa kumbu kumbu zangu alisema tatizo hilo hutokana na homon kivulugika katika mpangilio wake,kwahiyo humpelekea mwanamke hanapofanya sex husikia maumivu makali na kuto furahiya tendo...so huyo mpenzi wako anaumia kweli na wala sio swaga wala kutaka kukuibia,kama kweli bado wampenda na unamipango naye..! mimi nakushauli nenda humtafute dokta anayejua mambo hayo kama dokta izaki wa clouds tv na radio na wengineo wanaoyajua mambo hayo utapata msaada mkubwa kuliko kutuuliza sisi ambao hatuna ujuzi huo.........!! kwa mengine ni pm nikushauli..

Asante Omary, taku pm mkuu
 
huyo kafundishika na kaelewa usimuache kaka hakika utajuta ukimuacha!!!
 
jamani sijamuona cantalisia hapa, kwanza habari zenu, huyu bint ni mjukuu wangu haswa, na alishawahi kuja na katatizo hako hako eti kwa nini chungu tamu na tamu chung, nikamwambia mjukuu wangu hapo sasa umekua, usijeahirisha penati refa akisha weka mbwembwe zake ndani ya 6 badala ya mpira kupigwa hatua 12 ukapigwa nje ya 18 ooh pira litapaa juu mjukuu wangu. toka hapo sikumuona tena akabaki oooh babu mkwirima wako anakusalimu ooh babu kesho siji ninashughulu kumbe looool mechi imefika daraja la kwanza. jamani nitafutieni mjukuu wangu mwambieni nimerudi toka zanzibar jana.
 
Back
Top Bottom