Neno moja kwa Mchungaji Gwajima

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024

11079596_1182215031792913_4659528029246437147_n.jpg

Neno moja kwa Mchungaji J Gwajima
 
Ngwajima hana njaa huyo, mtaisoma namba nyinyi mliokwama kwenda kwenu Kigamboni Pantoni bovu.
 
Msaliti wa waumini wake. Aliwaambia lowasa ndiye rais kumbe uongo. Alisema pengo kala maharage kumbe pengo huwa anakula na mboga za majani
 
Sidhani kama mnafanya vizuri..

Tulishapira huko na leo Rais wetu amesema tuache ya nyuma tuungane kujenga nchi....

These are not helping anything....turudi meza moja na kuwa mmoja
 
Asimilia 82 ya Wanafunzi Wakosa Mikopo 2015/16

Zaidi-ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).

Hayo yamebainika ikiwa ni siku tatu tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000, hivyo kufanya idadi ya wanafunzi waliokosa mikopo kufikia asilimia 82.9 ya waombaji wote.
 
Hivi kwanini wameondoa kile kitufe cha LIKE?
 
Ngwajima asipojifunza kuchunga domo lakr hapa::basi hawezi kurekebika
 
Ngwajima hana njaa huyo, mtaisoma namba nyinyi mliokwama kwenda kwenu Kigamboni Pantoni bovu.

Tapeli toka lini akalala njaa.
Mnaibiwa huku mnapiga Haleluyah.
Majitu mazima mnadanganywa na huyu Mpitia wake za watu kuwa Anafufua watu na nyie mlivyo vichwa maji mnaingia mazima
Ngedere hata ufundishe vipi kumenya ndizi lzm ale na maganda tu.
 
Msaliti wa waumini wake. Aliwaambia lowasa ndiye rais kumbe uongo. Alisema pengo kala maharage kumbe pengo huwa anakula na mboga za majani

Teh teh teh.
Bila kusahau ile Ndoto yake ya Bangi.
Ati kaota Fisadi amekaa ikulu anakunywa Divai.
Manina zake.
Nabii ana sura ka jiko?
 
Ngwajima aliongea na hisia zake binafsi, alichemka mbaya. Wanadamu tupo hapa tulipo leo ili kujifunza. Ngwajima kapata somo sasa atakuwa mtu bora zaidi ya alivyokuwa awali.
 
huyu nae miga dili tuu kama
serikali ya TZ inavyowapa mkopo watu % 17 alaf inajitai RAIS ameagiza ishughulikiwekwa kulipitia tena majina ili watu 58k wawezeshwe kupata alaf mshabikia kumbe ni ujanja ujanja tuu kuona wanafanya kaz kumbe..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom