Neno moja kwa mama mkwe, tuone upande wa pili wa wakwe zetu

Msaidizi Mkuu

Senior Member
Aug 19, 2020
195
153
Habari wakuu, hope mko poa kabisa.

Leo nimeona tuone upande wa pili wa wakwe yaani mama wakwe zetu. Tupia neno lolote kwa mama mkwe wako hapo chini tujue mama wakwe wanatabia gani au wapoje.

Kuna rafiki yangu mmoja alisema namshukuru mama mkwe wangu kwa kunizalia kituu maana kila siku siishiwi kulia haha.

Shuka na wewe mdau kuhusu mama mkwe wako hapo chini
 
Usishangae ndugu watu wana hang over si unajua weekend hii na hapo unakuta hata hakunywa balimi ni hutu tu juisi cola...
daah jf burudani aiseee yaan nimecheka kifala yaan
 
Japo kila mtu ana uhuru wa kuposti chochote hapa lakini nakushauri haya mambo yawekeni huko Facebook. Hapa ni forum ya kujadili mambo ya maana.
 
Allah ampe maisha marefu, amuondoshee marefu, amfungulie milango ya rizqi na ampe kila kilicho heri kwake..amyn.
 
Back
Top Bottom