Neno la shukrani kwa wateja wetu wa TTCL

Vifurushi vyenu ni vya ovyo sijapata kuona, et mtandao wa kizalendo lakini vifurushi vyake vipo juu kuliko mitandao ya kigeni, mtapata tabu sana kuja kuinuka
 
View attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.

Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.

-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Kama kuna kampuni ya simu mbovu basi ninyi ndio kilanja wao,najuta kusajili mtandao huu na suala la muda tu itakuwa kwenye pipa la takataka vipande vya sim card yenu.
 
Je naweza kubadilisha salio la hewani kuwa T Pesa? Kama inawezekana naomba maelekezo.
 
View attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.

Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.

-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Mbona haiba yako inakataana na unachokisema?
 
View attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.

Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.

-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Hongereni sana mnajitaidi sana, hata vifurushi vyenu vipo chini. Ongezeni bidii, muwe kinara namba 1 kwa kuwa mtandao bora zaidi Tanzania kuliko mitandao yote.

Mgema akisifiwa tembo hulitia maji, kwa sifa hizi, msivimbishe vichwa afu mkaaribu mambo.
 
Wakishika #1 jwa huduma nafuu. Je, vipi kuhusu Vodacom, Halotel,Zantel, Tigo na Airtel si watakimbia nchi?
 
View attachment 1968463
Kwa wateja wetu wa nguvu.

Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Mteja wetu, wewe ndiye nguvu yetu.

-Wendlyne Mbagga,
Meneja Huduma kwa Wateja.
08 Oktoba 2021
Kwenye picha huyo nani

Ova
 
Mdada mzuri, Nikiwa napiga customer care naomba awe ananipokea yeye, Tena Mpare origino, TTCL Pale Rombo Kilimanjaro mtandao hausomi kabisa, ni changamoto, Yaani ukifika Mashati laini ni TTCL lakini inasoma Safaricom Kenya, Tuleteeni Mitambo huku Tunateseka sana
Akiwa na chura basi atakuwa full package

Ova
 
Internet yenu haina tofauti Kati ya 2g na 4g mjipange sana kwa uzalendo mmetushinda laini yenu ipo kabatini siku mkiwa na 4g ya ukweli mnistue tena
 
Back
Top Bottom