Neno La Leo: Ng'ombe Kipofu Na Ng'ombe Aliyevunjika Mguu!

Maggid,

Majibu yako hapo juu yanadhihirisha ni kwa jinsi gani ulivyokunywa maji ya bendera. Juzi uliandika ya kwenye blog yako kuwa aliyesulubiwa na Slaa yuko, ukimaanisha aliyekuwa Mwenyejiti wa CHADEMA Iringa (Ndg. Kapwani), yuko hoi hospitalini. Na nilikuandika email kali sana nikikuambia ya kuwa heading yako inalengo la kum-tie Dr Slaa na ugonjwa wa huyu Bwana, ni jambo la kusikitisha to say the least! Leo nimeangalia Blog yako nimeona umebadilisha Kichwa cha habari na kusema ...Ben Kapwani Taabani Hospitalini. Naona ingawa ukupost ujumbe wangu , ujumbe ulifika na ndio maana ulibadilisha kichwa cha habari. Angalia mmoja wa wasomaji wako alivyojibu baada ya kusoma hiyo habari ya ugonjwa wa Bwana Ben:

"Hivi kwanini hata nduguze Kapwani hawamshtaki huyo mtu aliyemdhalilisha ndugu yao mpaka kupata struke? Mie ningekuwa na hata ujamaa tu na huyo bwana mbona ningeivalia njuga hiyo kesi mpaka nione mwisho wake."

Huyu mtu aliyejitambulisha kwa jina la Anonymous ali-react hivyo kutokana na heading yako. Nadhani Maggid utakuwa mkweli na kukiri katika hili baraza ya kuwa kichwa cha habari ulikibadilisha!

Pili, suala la Mwakalebela. Hivi mbona ulikuwa mwepesi wa kumlaumu Slaa kwa kumsema Kapwani, lakini ukusema lolote pale Kikwete alimvyomsafisha Mwakalebela mbele la alaiki ya wana Iringa. Jee unadhani watu wa TAKUKURU walijisikiaje? Hivi vitu vyote vinafanya watu wa kuquestion credibility yako kama Mwana habari.

Bado unachoandika hapa hakina chembe ya ukweli. Lete hapa ushahidi wa hiyo title uliyoisoma juzi. Wewe ndiye unayeonekana kutoa tafsiri yenye lengo baya.
 
Bado unachoandika hapa hakina chembe ya ukweli. Lete hapa ushahidi wa hiyo title uliyoisoma juzi. Wewe ndiye unayeonekana kutoa tafsiri yenye lengo baya.

Mjengwa watu wengi walilalamikia kuhusiana na title ya hiyo thread, tukawaomba MODs wabadirishe sijui iliishia wapi maana sikufuatilia tena.
 
Back
Top Bottom