Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 82
Yaani mkuu mia tano jumlisha mia mbili toa mia tatu ni mia? Kweli wewe jinias wa hesabu
is she a baby of 2 years or what? Au labda ni chizi, ass......
Yaani mkuu mia tano jumlisha mia mbili toa mia tatu ni mia? Kweli wewe jinias wa hesabu
Yote uloandika mkuu wangu yanaweza tafsriwa vyovyote.. Sasa turudi kwenye karanga, mimi nikisema zile fedha ulompa yule msichana zilikuwa na maana ya kumhonga utakubali au?.. Binafsi, hili swala la Ngeleja na Jairo ni la kisiasa zaidi kwa sababu fedha humwagwa bungeni na sii jambo geni isipokuwa limeletwa kama lile la Richmond.Ndugu zangu,
Leo nilipata tabu sana hata kunyanyuka kitini kwenda haja ndogo wakati mjadala wa ripoti ya Kamati Teule ya Nishati na Madini ukiendelea. Niliufuatilia tangu mwanzo hadi mwisho.
Na mchana huu nikawachukua wanangu kwenda kupata mahitaji sokoni. Njiani nilisimama kununua karanga za kukaanga. Mwuuza karanga ni msichana asiyezidi miaka 16. Nilimwona akiwa amekaa juani anauza karanga zake.
Pakiti ya karanga ni shilingi mia. Nikatoa noti ya shilingi mia tano kununua paketi tatu za karanga. Nilimwangalia msichana yule akihangaika na chenji ya shilingi mia mbili.
" Hapana, acha tu!" Nilimwambia.
Mmoja wa watoto wangu akaniambia; " Baba, nina shilingi mia mbili nyingine mfukoni, ngoja nimwongezee."
Msichana yule ikamchanganya. Akachukua karanga nyingine paketi nne anipe. Alidhani, kuwa nimebadili mawazo, kuwa ile mia mbili niliyomwachia na hii ya sasa tunataka karanga nyingine.
Akashangaa na kushukuru alipofahamu kuwa tumenunua karanga za shilingi mia tatu na tumemwachia shilingi mia nne abaki nazo.
Niliondoka mahali pale nikitafakari sana juu ya umasikini wa watu wetu huku bado kumbukumbu ya mjadala wa bungeni leo Jumamosi ungali kichwani mwangu.
Nawafikria akina Ngeleja na Malima na ujasiri wao wa kifisadi wa kusaini malipo ya shilingi milioni nne kila mmoja kama ' Posho ya kukarimisha'. Nawafikiria akina Jairo na Luhanjo na ufisadi wa Wizara kuchangisha mamilioni ya shilingi na kupeleka watumishi zaidi ya mia mbili Dodoma kufanikisha uwasilishaji wa bajeti ya Wizara.
Maneno ya Mheshimiwa Lembeli yananijia; " Ndugu yangu Ngeleja jiuzuru!". Na hakika, wabunge wengi niliowasikia leo wamezungumza kwa uchungu juu ya kashfa na aibu hii kwa taifa akina akina Ngeleja na wenzake wametuletea.
Nawapongeza sana wabunge wetu kwa ujasiri waliouonyesha leo. Nami kama raia tu nasema; walichofanya akina Ngeleja na wenzake ni uhalifu na hakuna kingine cha wao kufanya sasa bali kuachia ngazi ili kulinda heshima zao, ya Rais na nchi yetu. Na juu ya hapo wafikishwe mahakamani.
Na kwa mtani wangu Ngeleja kama ni disco leo awe amecheza ' Last Dance!'. Kumwona Ngeleja Bunge lijalo akiwa kama Waziri si kingine bali ni matusi kwa WaTanzania.
Nahitimisha.
Maggid Mjengwa,
Iringa,
Maggid umeanza vyema kabisa lakini umemalizia kwa ushabik na hoja imekuwa ni dhaifu x 2 (mara mbili).
Kwanza, huwa hatutowi sadaka ya shillingi 200 halafu tukatangaza, halafu umeshajiuliza? ikiwa wewe uweze kutoa mia 200 na mwanao (ambae nadhani bado ni mwanafunzi) katika vi "pocket money" vyake nae aweze kutowa 200 na uje humu kumtangazia kuwa anazo za kutumia kama zako, jee ulikuwa unatuonesha kuwa unazo za ziada au kuwa wewe na mwanao ni wakarim sana?
Pili, huyo uliyemkuta anauza karanga ni bora mara elfu kuliko wale ambao ukipita Ohio utawakuta wakijiuza, au wale wanaosimama "traffic lights" wakiomba omba na wazee wao pembeni wanawachombeza.
Kwa mimi, ningekuona wa maana sana ungeleta hoja nyingne kabisa kwa uliyoyasikia bungeni na si kwa kumbeza au kumuonea simanzi uliyemkuta anauza karanga, huyo ni mfanya biashara, vyovyote ilivyo alikuwa kazini na hapo ni pakusifia na ungekuwa na huruma nae sana ungemkirim kwa kumpeleka chuo cha ujasiriamali au kumuongeza mtaji na si kumpa viji mia mbili vyako na vya mwanao kisha uvitolee mfano humu JF, hiyo ni kutokuwa na nadharia ndefu.
"Give a man a fish and you feed him for a day. Teach a man to fish and you feed him for a lifetime." Chinese Proverb.
Wasio nacho si vyema kuwatumia kwa kuwatolea mifano wapo wengi sana na wanahitaji msaada zaidi ya 200 za "keep change".
Naomba tumia kalamu yako vizuri "Pen is mightier than the sword".
Qur'an 68:1 Nun. By the Pen and the (Record) which (men) write,-
"Noon waalqalami wama yasturoona"
Hilo neno la mwisho "yasturoona" si kuandika tu, na vipi wanastiri katika maandiko yao.
Kupokea Ngeleja (Waziri) pesa za dhifa million 4 kama zilikuwepo kwenye bajeti, ziliombwa na kupitishwa kihalali bungeni, sioni kuwa ni kosa, kinyume cha hapo (ubadhirifu) ni kosa tena kubwa sana. Millioni nne si kubwa hivyo kwa wadhifa na dhifa za Waziri. Ni kubwa sana pale tu zitakapotumika kujinufaisha binafsi au kinyume na zilivyoombwa.
Naomba nielewe vizuri, sitetei makosa nachelea ukiitumia vibaya kalamu utajikuta unafanya kosa katika kujenga hoja za kukosowa.
Unauliza au unatoa positive statement? Matokeo ya mfumo mbovu wa elimu yetu. Hakuna anaeweza kubisha kwamba ukimwachia mtu 400/= "abaki nazo," ukachukua karanga zenye thamani ya 300/= maana yake umetoa bakhshish ya 100/= tu.Mkuu, kwenye hii thread hujaona sehemu yeyote palipoandikwa noti ya shilingi mia tano,
tumenunua karanga za shilingi mia tatu na tumemwachia shilingi mia nne abaki nazo.
Kwani anaandikia gazeti gani?
Ubishi uko wapi jamani? Majjid kasema alitoa noti ya Tsh 500 akanunua karanga za mia 300, akamwachia chenji na mwanaye akamuongezea binti yule 200.. Sasa kinachowashinda kuelewa aliacha 400 ni kipi?Unauliza au unatoa positive statement? Matokeo ya mfumo mbovu wa elimu yetu. Hakuna anaeweza kubisha kwamba ukimwachia mtu 400/= "abaki nazo," ukachukua karanga zenye thamani ya 300/= maana yake umetoa bakhshish ya 100/= tu.
Ndugu zangu,
Leo nilipata tabu sana hata kunyanyuka kitini kwenda haja ndogo wakati mjadala wa ripoti ya Kamati Teule ya Nishati na Madini ukiendelea. Niliufuatilia tangu mwanzo hadi mwisho.
Na mchana huu nikawachukua wanangu kwenda kupata mahitaji sokoni. Njiani nilisimama kununua karanga za kukaanga. Mwuuza karanga ni msichana asiyezidi miaka 16. Nilimwona akiwa amekaa juani anauza karanga zake.
Pakiti ya karanga ni shilingi mia. Nikatoa noti ya shilingi mia tano kununua paketi tatu za karanga. Nilimwangalia msichana yule akihangaika na chenji ya shilingi mia mbili.
Hapana, acha tu! Nilimwambia.
Mmoja wa watoto wangu akaniambia; Baba, nina shilingi mia mbili nyingine mfukoni, ngoja nimwongezee.
Msichana yule ikamchanganya. Akachukua karanga nyingine paketi nne anipe. Alidhani, kuwa nimebadili mawazo, kuwa ile mia mbili niliyomwachia na hii ya sasa tunataka karanga nyingine.
Akashangaa na kushukuru alipofahamu kuwa tumenunua karanga za shilingi mia tatu na tumemwachia shilingi mia nne abaki nazo.
Niliondoka mahali pale nikitafakari sana juu ya umasikini wa watu wetu huku bado kumbukumbu ya mjadala wa bungeni leo Jumamosi ungali kichwani mwangu.
Nawafikria akina Ngeleja na Malima na ujasiri wao wa kifisadi wa kusaini malipo ya shilingi milioni nne kila mmoja kama Posho ya kukarimisha. Nawafikiria akina Jairo na Luhanjo na ufisadi wa Wizara kuchangisha mamilioni ya shilingi na kupeleka watumishi zaidi ya mia mbili Dodoma kufanikisha uwasilishaji wa bajeti ya Wizara.
Maneno ya Mheshimiwa Lembeli yananijia; Ndugu yangu Ngeleja jiuzuru!. Na hakika, wabunge wengi niliowasikia leo wamezungumza kwa uchungu juu ya kashfa na aibu hii kwa taifa akina akina Ngeleja na wenzake wametuletea.
Nawapongeza sana wabunge wetu kwa ujasiri waliouonyesha leo. Nami kama raia tu nasema; walichofanya akina Ngeleja na wenzake ni uhalifu na hakuna kingine cha wao kufanya sasa bali kuachia ngazi ili kulinda heshima zao, ya Rais na nchi yetu. Na juu ya hapo wafikishwe mahakamani.
Na kwa mtani wangu Ngeleja kama ni disco leo awe amecheza Last Dance!. Kumwona Ngeleja Bunge lijalo akiwa kama Waziri si kingine bali ni matusi kwa WaTanzania.

Mjengwa acha udalali wa uandishi, safari hii umetumwa na JM?
Nilikuwa nafanya utafiti ni kwa nini division zero zimekuwa nyingi siku hizi, kumbe hata hapa JF wapo zero brain wengi, kwahiyo mia2 + mia2= mia1!?
Leo humjui unayempigia debe apate uwaziri wa Nishati na Madini?Kamura,
Asante sana kwa maoni yako. Sijapata kuwa dalali wa jambo lolote lile. Na huyo JM ni nani?
Maggid
Iringa.
Yes my man are u there? uliwaona jana wapenda ubwabwa na vipedo vyao wakati wa porojo za Mkwerre?
Ni kweli kabisa. Ngeleja, Jairo na Luhanjo wanonewa kwa sababu ya dini yao. Teh! Teh!
Mbona ni wakristo watupu? yaani hapo Adam Malima hausika? au ndio mfumo Bakwata unasimikwa nchini? tunahitaji kauli ya maaskofu, huu ni uonevu dhidi ya wakristo.
I sum up your analysis and call it ENVY