Neno La Leo: Ngeleja's Last Dance!

Umemwachia mia nne abaki nazo, na umenunua karanga za mia tatu.

Kwa hiyo umetoa tip ya shilingi mia. Sio mbaya, ubarikiwe. Lakini tip ya shilingi mia sio ya kuianzishia thread!

huna macho wala masikio wala ubongo. Kifupi u dont exist
 
Milioni nne zinamlipa mshahara mfanyakazi wa kima cha chini mwenye familia ya ki Afrika<mke,watoto 6,wazazi,wakwe,wajomba nk> kwa miaka miwili!Leo tunaambiwa mungu mtu mmoja amepiga hizo kwa siku moja.Hii ni hatari jamani.
 
hapa bongo neno kujiuzulu ni wimbo utakaoimbwa miaka yote lakini hakuna kiongozi atakayewajibika kwani anajiamini na madudu anayoyafanya ni kwa maelekezo ya mkuu wake wa kazi
 
Well, to expect Ngereja's resignation is as good as squeezing a stone to get milk! By the way, Mr. Mjengwa, what do you make of President's speech yesterday?
 
Umemwachia mia nne abaki nazo, na umenunua karanga za mia tatu.

Kwa hiyo umetoa tip ya shilingi mia. Sio mbaya, ubarikiwe. Lakini tip ya shilingi mia sio ya kuianzishia thread!

Yaani mkuu mia tano jumlisha mia mbili toa mia tatu ni mia? Kweli wewe jinias wa hesabu
 
maggid juzi nilipokuwa safarini india kuna mtu alikufagilia kwa kutopenda kuwa mnafiki. Kiukweli kwa hali halisi ilivyo waandishi wengi hawapo balanced tunao humu jf.

Si waandishi tu sisi pia ni wanafiki,leo wanajf wanakupa "shavu" simply kwasababu hujagusa maslahi yao. Najua unaelewa ninachokieleza.

Kwa kuhutimisha naunga hoja yako mia kwa mia.
 
Kwa kuonyesha kuwa na wewe sio mnafiki ungewataja hao waandishi wengine ambao wapo humu jf mkuu!
Binafsi Maggid niliacha kusoma "mraba" wake kitambo.
Ila maandiko yake ya juzi juu ya mswada wa mchakato wa katiba na hili yamenigusa sana na nmependa alivyoandika!
 
@Matola! No nilivyomuelewa Mjengwa hakua amelenga kwenye tip as such! Amelenga vile pale alipotoa noti ya sh 500 binti yule herlself hakua na change za sarafu za kurudisha ndy ikampelekea Mjengwa kujiongeza mayb binti yule tng amefungua biashara hakua ameuza chcht! Ht b/c ya mauzo ya jana yake hakuanayo ndipo huruma ya kumuachia tip ikamjia kichwani km ckosei
 
:eyebrows: mimi nimwanaCCM lakini katika hili kama ngeleja hatajiuzulu,ntaihama hiki chama rasmi na ntamtukana waziwazi.

Aaaa wapi! We kufa tu na ccm yako wala usimtukane mtu! Si ndio zenu ccm tumeshawazoea.
 
maggid juzi nilipokuwa safarini india kuna mtu alikufagilia kwa kutopenda kuwa mnafiki. Kiukweli kwa hali halisi ilivyo waandishi wengi hawapo balanced tunao humu jf.

Si waandishi tu sisi pia ni wanafiki,leo wanajf wanakupa "shavu" simply kwasababu hujagusa maslahi yao. Najua unaelewa ninachokieleza.

Kwa kuhutimisha naunga hoja yako mia kwa mia.

Maslahi yapi hayo? Kuwa muwazi.
 
Kwa kuonyesha kuwa na wewe sio mnafiki ungewataja hao waandishi wengine ambao wapo humu jf mkuu!
Binafsi Maggid niliacha kusoma "mraba" wake kitambo.
Ila maandiko yake ya juzi juu ya mswada wa mchakato wa katiba na hili yamenigusa sana na nmependa alivyoandika!
Kwani anaandikia gazeti gani?
 
Maggid umeanza vyema kabisa lakini umemalizia kwa ushabik na hoja imekuwa ni dhaifu x 2 (mara mbili).

Kwanza, huwa hatutowi sadaka ya shillingi 200 halafu tukatangaza, halafu umeshajiuliza? ikiwa wewe uweze kutoa mia 200 na mwanao (ambae nadhani bado ni mwanafunzi) katika vi "pocket money" vyake nae aweze kutowa 200 na uje humu kumtangazia kuwa anazo za kutumia kama zako, jee ulikuwa unatuonesha kuwa unazo za ziada au kuwa wewe na mwanao ni wakarim sana?

Pili, huyo uliyemkuta anauza karanga ni bora mara elfu kuliko wale ambao ukipita Ohio utawakuta wakijiuza, au wale wanaosimama "traffic lights" wakiomba omba na wazee wao pembeni wanawachombeza.

Kwa mimi, ningekuona wa maana sana ungeleta hoja nyingne kabisa kwa uliyoyasikia bungeni na si kwa kumbeza au kumuonea simanzi uliyemkuta anauza karanga, huyo ni mfanya biashara, vyovyote ilivyo alikuwa kazini na hapo ni pakusifia na ungekuwa na huruma nae sana ungemkirim kwa kumpeleka chuo cha ujasiriamali au kumuongeza mtaji na si kumpa viji mia mbili vyako na vya mwanao kisha uvitolee mfano humu JF, hiyo ni kutokuwa na nadharia ndefu.

"Give a man a fish and you feed him for a day. Teach a man to fish and you feed him for a lifetime." Chinese Proverb.

Wasio nacho si vyema kuwatumia kwa kuwatolea mifano wapo wengi sana na wanahitaji msaada zaidi ya 200 za "keep change".

Naomba tumia kalamu yako vizuri "Pen is mightier than the sword".

Qur'an 68:1 Nun. By the Pen and the (Record) which (men) write,-
"Noon waalqalami wama yasturoona
"

Hilo neno la mwisho "yasturoona" si kuandika tu, na vipi wanastiri katika maandiko yao.

Kupokea Ngeleja (Waziri) pesa za dhifa million 4 kama zilikuwepo kwenye bajeti, ziliombwa na kupitishwa kihalali bungeni, sioni kuwa ni kosa, kinyume cha hapo (ubadhirifu) ni kosa tena kubwa sana. Millioni nne si kubwa hivyo kwa wadhifa na dhifa za Waziri. Ni kubwa sana pale tu zitakapotumika kujinufaisha binafsi au kinyume na zilivyoombwa.

Naomba nielewe vizuri, sitetei makosa nachelea ukiitumia vibaya kalamu utajikuta unafanya kosa katika kujenga hoja za kukosowa.
 
Yaani mkuu mia tano jumlisha mia mbili toa mia tatu ni mia? Kweli wewe jinias wa hesabu

hujamuelewa

embu jaribu ku-spare hata dakika moja kusoma main post kabla ya kukurupuka watu wengine bwana.

Nilikuwa nafanya utafiti ni kwa nini division zero zimekuwa nyingi siku hizi, kumbe hata hapa JF wapo zero brain wengi, kwahiyo mia2 + mia2= mia1!?

Ndio maana mnaingizwa mikenge kila siku, Watanzania masikini, hamuweki umakini katika kila neno mnalosoma. Tunawaza, na tumejaa, ugali na maharage vichwani!

Mjengwa, anaeshindwa kuwasilisha ujumbe rahisi wa hesabu za karanga eti ndio moja ya weledi wenu wanaosomwa na wengi nchini, mtaacha kuwa majuha? Waziri Ngeleja anaemuongelea na matatizo ya nishati tuliyonayo yametokana, kwa kiasi kikubwa, na kutokuwa na umakini katika kusoma makaratasi.

Watanzania Kiswahili tabu, hesabu tabu, Kiingereza tabu, kusoma tabu. No wonder watu wamekata tamaa mpaka wanaamini vibabu vinavyodai vina dawa ya kila tatizo.

Ukimwachia mtu 400/= "abaki nazo," ukachukua karanga zenye thamani ya 300/= maana yake umetoa bakhshish ya 100/= tu.

... tumenunua karanga za shilingi mia tatu na tumemwachia shilingi mia nne abaki nazo.
 
Ndio maana mnaingizwa mikenge kila siku, Watanzania masikini, hamuweki umakini katika kila neno mnalosoma. Tunawaza, na tumejaa, ugali na maharage vichwani!

Mjengwa, anaeshindwa kuwasilisha ujumbe rahisi wa hesabu za karanga eti ndio moja ya weledi wenu wanaosomwa na wengi nchini, mtaacha kuwa majuha? Waziri Ngeleja anaemuongelea na matatizo ya nishati tuliyonayo yametokana, kwa kiasi kikubwa, na kutokuwa na umakini katika kusoma makaratasi.

Watanzania Kiswahili tabu, hesabu tabu, Kiingereza tabu, kusoma tabu. No wonder watu wamekata tamaa mpaka wanaamini vibabu vinavyodai vina dawa ya kila tatizo.

Ukimwachia mtu 400/= "abaki nazo," ukachukua karanga zenye thamani ya 300/= maana yake umetoa bakhshish ya 100/= tu.

Wewe nae bure kweli, hebu soma vizuri tangu mwanzo unajiaibisha tu hapa!
 
Ndio maana mnaingizwa mikenge kila siku, Watanzania masikini, hamuweki umakini katika kila neno mnalosoma. Tunawaza, na tumejaa, ugali na maharage vichwani!

Mjengwa, anaeshindwa kuwasilisha ujumbe rahisi wa hesabu za karanga eti ndio moja ya weledi wenu wanaosomwa na wengi nchini, mtaacha kuwa majuha? Waziri Ngeleja anaemuongelea na matatizo ya nishati tuliyonayo yametokana, kwa kiasi kikubwa, na kutokuwa na umakini katika kusoma makaratasi.

Watanzania Kiswahili tabu, hesabu tabu, Kiingereza tabu, kusoma tabu. No wonder watu wamekata tamaa mpaka wanaamini vibabu vinavyodai vina dawa ya kila tatizo.

Ukimwachia mtu 400/= "abaki nazo," ukachukua karanga zenye thamani ya 300/= maana yake umetoa bakhshish ya 100/= tu.

Mkuu, kwenye hii thread hujaona sehemu yeyote palipoandikwa noti ya shilingi mia tano, jaribu kupitia polepole.
 
Ndio maana mnaingizwa mikenge kila siku, Watanzania masikini, hamuweki umakini katika kila neno mnalosoma. Tunawaza, na tumejaa, ugali na maharage vichwani!

Mjengwa, anaeshindwa kuwasilisha ujumbe rahisi wa hesabu za karanga eti ndio moja ya weledi wenu wanaosomwa na wengi nchini, mtaacha kuwa majuha? Waziri Ngeleja anaemuongelea na matatizo ya nishati tuliyonayo yametokana, kwa kiasi kikubwa, na kutokuwa na umakini katika kusoma makaratasi.

Watanzania Kiswahili tabu, hesabu tabu, Kiingereza tabu, kusoma tabu. No wonder watu wamekata tamaa mpaka wanaamini vibabu vinavyodai vina dawa ya kila tatizo.

Ukimwachia mtu 400/= "abaki nazo," ukachukua karanga zenye thamani ya 300/= maana yake umetoa bakhshish ya 100/= tu.

Huyu anahitaji maombezi maalum, this is not normal,......
 
Maggid umeanza vyema kabisa lakini umemalizia kwa ushabik na hoja imekuwa ni dhaifu x 2 (mara mbili).

Kwanza, huwa hatutowi sadaka ya shillingi 200 halafu tukatangaza, halafu umeshajiuliza? ikiwa wewe uweze kutoa mia 200 na mwanao (ambae nadhani bado ni mwanafunzi) katika vi "pocket money" vyake nae aweze kutowa 200 na uje humu kumtangazia kuwa anazo za kutumia kama zako, jee ulikuwa unatuonesha kuwa unazo za ziada au kuwa wewe na mwanao ni wakarim sana?

Pili, huyo uliyemkuta anauza karanga ni bora mara elfu kuliko wale ambao ukipita Ohio utawakuta wakijiuza, au wale wanaosimama "traffic lights" wakiomba omba na wazee wao pembeni wanawachombeza.

Kwa mimi, ningekuona wa maana sana ungeleta hoja nyingne kabisa kwa uliyoyasikia bungeni na si kwa kumbeza au kumuonea simanzi uliyemkuta anauza karanga, huyo ni mfanya biashara, vyovyote ilivyo alikuwa kazini na hapo ni pakusifia na ungekuwa na huruma nae sana ungemkirim kwa kumpeleka chuo cha ujasiriamali au kumuongeza mtaji na si kumpa viji mia mbili vyako na vya mwanao kisha uvitolee mfano humu JF, hiyo ni kutokuwa na nadharia ndefu.

"Give a man a fish and you feed him for a day. Teach a man to fish and you feed him for a lifetime." Chinese Proverb.

Wasio nacho si vyema kuwatumia kwa kuwatolea mifano wapo wengi sana na wanahitaji msaada zaidi ya 200 za "keep change".

Naomba tumia kalamu yako vizuri "Pen is mightier than the sword".

Qur'an 68:1 Nun. By the Pen and the (Record) which (men) write,-
"Noon waalqalami wama yasturoona
"

Hilo neno la mwisho "yasturoona" si kuandika tu, na vipi wanastiri katika maandiko yao.

Kupokea Ngeleja (Waziri) pesa za dhifa million 4 kama zilikuwepo kwenye bajeti, ziliombwa na kupitishwa kihalali bungeni, sioni kuwa ni kosa, kinyume cha hapo (ubadhirifu) ni kosa tena kubwa sana. Millioni nne si kubwa hivyo kwa wadhifa na dhifa za Waziri. Ni kubwa sana pale tu zitakapotumika kujinufaisha binafsi au kinyume na zilivyoombwa.

Naomba nielewe vizuri, sitetei makosa nachelea ukiitumia vibaya kalamu utajikuta unafanya kosa katika kujenga hoja za kukosowa.

Ni kweli kabisa. Ngeleja, Jairo na Luhanjo wanonewa kwa sababu ya dini yao. Teh! Teh!
 
Mbona ni wakristo watupu? yaani hapo Adam Malima hausika? au ndio mfumo Bakwata unasimikwa nchini? tunahitaji kauli ya maaskofu, huu ni uonevu dhidi ya wakristo.
 
Maggid umeanza vyema kabisa lakini umemalizia kwa ushabik na hoja imekuwa ni dhaifu x 2 (mara mbili).

Kwanza, huwa hatutowi sadaka ya shillingi 200 halafu tukatangaza, halafu umeshajiuliza? ikiwa wewe uweze kutoa mia 200 na mwanao (ambae nadhani bado ni mwanafunzi) katika vi "pocket money" vyake nae aweze kutowa 200 na uje humu kumtangazia kuwa anazo za kutumia kama zako, jee ulikuwa unatuonesha kuwa unazo za ziada au kuwa wewe na mwanao ni wakarim sana?

Pili, huyo uliyemkuta anauza karanga ni bora mara elfu kuliko wale ambao ukipita Ohio utawakuta wakijiuza, au wale wanaosimama "traffic lights" wakiomba omba na wazee wao pembeni wanawachombeza.

Kwa mimi, ningekuona wa maana sana ungeleta hoja nyingne kabisa kwa uliyoyasikia bungeni na si kwa kumbeza au kumuonea simanzi uliyemkuta anauza karanga, huyo ni mfanya biashara, vyovyote ilivyo alikuwa kazini na hapo ni pakusifia na ungekuwa na huruma nae sana ungemkirim kwa kumpeleka chuo cha ujasiriamali au kumuongeza mtaji na si kumpa viji mia mbili vyako na vya mwanao kisha uvitolee mfano humu JF, hiyo ni kutokuwa na nadharia ndefu.

"Give a man a fish and you feed him for a day. Teach a man to fish and you feed him for a lifetime." Chinese Proverb.

Wasio nacho si vyema kuwatumia kwa kuwatolea mifano wapo wengi sana na wanahitaji msaada zaidi ya 200 za "keep change".

Naomba tumia kalamu yako vizuri "Pen is mightier than the sword".

Qur'an 68:1 Nun. By the Pen and the (Record) which (men) write,-
"Noon waalqalami wama yasturoona
"

Hilo neno la mwisho "yasturoona" si kuandika tu, na vipi wanastiri katika maandiko yao.

Kupokea Ngeleja (Waziri) pesa za dhifa million 4 kama zilikuwepo kwenye bajeti, ziliombwa na kupitishwa kihalali bungeni, sioni kuwa ni kosa, kinyume cha hapo (ubadhirifu) ni kosa tena kubwa sana. Millioni nne si kubwa hivyo kwa wadhifa na dhifa za Waziri. Ni kubwa sana pale tu zitakapotumika kujinufaisha binafsi au kinyume na zilivyoombwa.

Naomba nielewe vizuri, sitetei makosa nachelea ukiitumia vibaya kalamu utajikuta unafanya kosa katika kujenga hoja za kukosowa.

I sum up your analysis and call it ENVY
 
Back
Top Bottom