Neno 'Circus'

cheze

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
501
330
Wajumbe wa jf.
Jana mbunge Tundu Lissu alilitumia bugeni,leo mchana mwanasheria kamkosowa kuwa hilo neno alipo.
Nimeangalia kwenye dictionary hili neno linamaanisha kundi la watu linalo jadili mambo yasio na mantiki(soga).
Sinaakika kama Lissu alikuwa na mantiki hiyo au mwanasheria ndio ajalifahamu neno lenyewe.
Mutanisamehe kama nami ntakuwa nimekosea.
Tujadili/.
 
Inakuwaje mwanasheria mkuu wa serikali ya JMT alifahamu hili neno hadi kaliangalia kwenye kamusi na leo kaja najibu bungeni kuwa alipo kabisa kwenye kiingereza, au Mb Lissu alimahanisha neno lingine?
 
Circus imetokana na neno la kiingereza 'Circle' yaani duara, ila lenyewe likimaanisha michezo au maonesho ambayo huzunguka kutoka mji, au eneo moja kwenda maeneo mengine na baadaye kurejea tena sehemu ya awali baada ya kipindi fulani.
Ndiko tulikotohoa neno la Kiswahili 'Sarakasi' ambayo ni miongoni mwa michezo inayojumuishwa kwenye circus.
 
circus ni kundi la usanii wa maonyesho unaojumuisha mazingaombwe, sarakasi (actually neno la kiswahili "sarakasi" linatokana na "circus") habari za kula moto, muziki, etc.

The Roman poet Juvenal said to keep people in line a ruler has to give them circuses and bread so as the populace will not inquire into deeper issues. Sasas naona bongo tunapata bad circuses and no bread.
 
KIMSINGI SINA SHIDA NA HILO NENO "CIRCUS" KWANI NI LA KIINGEREZA KABISA. LAWEZA TUMIKA KAMA UNAZUNGUMZIA MASWALA YA ENTERTAINMENT (BURUDANI) AU ROAD (BARABARA). TATIZO LANGU NI PALE MWANASHERIA ALIPOSEMA HALIPO KWENYE DICTIONARY! Mmmh! ILA TUNDU ALIMPROVOKE KWA KUSEMA "HUJUI KIINGEREZA" KAMA NILIFUATILIA VIZURI KUCHEZA KWA MIDOMO YAKE; KWANI SAUTI HAIKUSIKIKA . VIONGOZI WAKUBWA SERIKALINI WAWE MAKINI KWA KAULI ZAO; WASIWE WATU WAKULA MATAPISHI KILA MARA NI AIBUUU!!!
 
Ndio bana, jamaa kachemsha kusema hili neno halipo kwenye kamusi bora angebainisha aina ya kamusi. Labda kwenye kamusi ya sheria ndio halipo.
circus ni kundi la usanii wa maonyesho unaojumuisha mazingaombwe, sarakasi (actually neno la kiswahili "sarakasi" linatokana na "circus") habari za kula moto, muziki, etc.

The roman poet juvenal said to keep people in line a ruler has to give them circuses and bread so as the populace will not inquire into deeper issues. Sasas naona bongo tunapata bad circuses and no bread.
 
Feelings,
No alisema hili neno alipo kabisa kwenye kiingereza na wala sio kamusi ya maneno sheria, na sielewi kama neno likiwemo kwenye lugha fulani autoamtically linaweza tumika
 
Ndio bana, jamaa kachemsha kusema hili neno halipo kwenye kamusi bora angebainisha aina ya kamusi. Labda kwenye kamusi ya sheria ndio halipo.


Feelings... Hilo neno halipo katika dictionary ya Sheria oriented meaning. For hakuna mahala lipo applicable huko. nadhani alichukulia for granted kua wanasheria wenzie wataelewa akasahau kakamilisha maneno yake for si wanasheria pekee ambao walisikia hata wasio wanasheria na hpo ndipo ambapo tatizo lime imerge kwa upande wako. Siamini kua the guy anaweza jua neno "Circus" alafu asijue maana yake na wala asijue kua lipo katika dictionary za kawaida za lugha ya Kiingereza.
 
Kimsingi neno lipo katika kamusi na ni neno la kingereza na Mh Tundu alipolitumia kufuatia kilichokuwa kinajadiliwa alikuwa sahihi kabisa ila aibu ilikuwa kwa AG kutamka tena yuko on air kwamba neno hilo halipo,napata mashaka na uwezo wa AG,maana hata siku ya kujadili mswaada wa sheria ya money laundering alibanwa na Mnyika nikaona anababaika kiasi kwamba Chenge ikamlazimu aende kwa Werema kumsaidia vifungu vya sheria,nadhani jana alipokuja kubanwa na gari kubwa,jembe Mh Lisu alipanic kiasi kwamba alivyoenda kuchungulia kamusi aka-overlook hakuliona au ni kweli ni mchache kiuwezo.
 
wagawiwe kamusi na sio basi kutuaibisha kiasi kile
 
Concern yangu hapa iko kwa mleta 'uzi' huu. Neno 'circus', the Poster, hakuelewa maana ya neno hili pale jana wakti Mh. Tundu Lissu alipo jenga hoja kuhusu mchakato wa katiba. Mkuu uliza pale unapo kwama, usilete janja ya nyani.

ja yake ni kuleta hoja hii ya 'uchokozi
 
Baada ya AG kusema neno hilo halipo, T. Lissu aliongea maneno fulani ambayo sikuyasikia, ila hapo hapo Makinda akamuonya Lissu aache dharau. Wakati ule sikuelewa ni kwa nini Lissu aliambiwa aache dharau, ila kwa kuunganisha posts za humu napata picha kwamba Lissu alimwambia AG hajui kiingereza!
 
Back
Top Bottom