Nenda Sumaye, Usiogope! Chomoa mchanga wa chini katika kifusi cha mchanga!

Yani yale yaliyotokea KANU kenya ya viongozi kujiondoa kwenye chama tawala na kuhamia upinzani ndio kitatokea hapa. The only way ya ccm kubwagwa ndio hivo. JK ataweka history ya kua rais aliyegawanya ccm na kukitoa chama madarakani, hiyo itakua kwenye cv yake mpaka anaingia kaburini
 
huyu mzee naona sasa hali ya maisha imemchanganya ccm wamemnynyasa sana mashamba na maeneo mengi aliyokuwa anamiliki mvomero walisha mnyang'hanya sana jinsi. ushauri wangu kwa watu kama sumayi ni bora kukaa kimya na kuachana na siasa kabisa ndio itakuwa neema ya kumfanya aheshimike na pengine kuishi maisha marefu kuliko kuingia kwenye uchafu wa siasa
 
Ushauri wako ni wa mtu mwoga,hasiye weza kutetea na kulinda haki zake,jamii yake na taifa lake!
 
Yani yale yaliyotokea KANU kenya ya viongozi kujiondoa kwenye chama tawala na kuhamia upinzani ndio kitatokea hapa. The only way ya ccm kubwagwa ndio hivo. JK ataweka history ya kua rais aliyegawanya ccm na kukitoa chama madarakani, hiyo itakua kwenye cv yake mpaka anaingia kaburini

Kumbe nishawaelewa, mimi nilidhani tatizo lenu ni CCM kumbe ni JK kama individual!

Basi come 2015 CCM ita bounce back kwa kishindo maana Mr easy target hatakuwepo.
 
Sumaye hata afanye mazungumzo na Chadema, yeye sio mtaji lolote, sio mtaji chochote, na akihama CCM, atajihamia yeye kama yeye, hana wafuasi wowote wa kutishia usalama wa CCM!. Angetishia kuhama yule Mzee wa ....ndio CCM ingetingishika!.

Hata hivyo, sifa za kugombea urais kupitia CCM sio ujumbe wa NEC bali ni kwa mwana CCM yoyote mwenye sifa!, hivyo hata kama Sumaye amebwagwa ujumbe wa NEC na ki..da wake, kisa ki..da huyo pia katembea na Muzeiye, hiyo sio sababu ya yeye kuihama CCM!.

Kwa vile Sumaye hata kitu chochote cha maana zaidi tule tujumba alitotujenga kwa mikopo ya kifisadi ya NSSF, then hana jeuri yoyote ya kuihama CCM wakati tegemeo lake ni mafao ya kustaafu ambayo ni 80% ya current PM!. Japo hata akihama pensheni yake iko pale pale, bali masimango yatammaliza bure!.

Nawaomba niwape siri nzito nyie mnaodhani mnajua kumbe hamjui kitu!. Kwa Chadema, mtaji sio Sumaye, bali mtaji ni .......ndiye anayesubiriwa in case CCM hawamsimamisha!.

Take note, hivi mmeshawahi kuwasikia viongozi wa Chadema wakimlaumu jamaa fulani wa CCM?!.

Habari ndio hiyo!, nawaombeni msiniulize ni nani?!, wenye kuelewa wameelewa, nyie wengine, wenzangu na mimi tusioelewa, nawaombeni sana tusameheane tuu!.

P.

mkuu Pasco, ina maana mama aliyeshinda nec Hanang aliwahi kuwa kimada wa former prime minister wa awamu ya tatu?
 
Last edited by a moderator:
Wanaodhani kuwa si kitu Sumayi luondoka,wasubiri aamue na kufanya hivyo publicly.CCM wengi watapata ujasiri wa kupaa, na wakiona wenzao walivyoziki kuwa salama ndipo utakuwa mchezo, na mchozo huu utakuwa ukitokea vipindi visivyo vizuri kwa CCM.

Summaye kubaki CCM ni kuruhusu usalama wake uwe hatarini.hakuna aliyewahi ondoka CCM kwa mawazo ya kurudi nyuma nyuma alisalimika.

Ajiweke mahali kama Mbowe, ndesa na wengine mali zao haziguswi, na azifungulie makampuni ambaye atajipa asilimia fulani na kuwapa wawekezaji wa nje kiasi fulani.CCM waadhulumu wajuane na balozi husika kwa hizo nchi.Na uomja wa ulaya.

Kiuhasilia CDM hawawezi mpa uongozi au nafasi ya kugombea kitaifa kwani muda wake kuwa ndnai ya chama hauruhusu,pengine awe alishawekeza uanachama miaka mingi sana iliyopita.Na ikiwa ndivyo basi CCM itakuwa katk halia ya hatari sana.Kwani watakuwepo wengi sana wenye kadi za CDM zaidi ya CCM wanavyodhani, na itaashiria CDM kuwa "true badger",kuwa wanafanya kile CCM ilizoea kwa vyama vingine.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Sumaye si salama sana kwake kuwa hatabairiki hasa kaipindi hiki ambacho tayari kestatiliwa mashaka.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwa malumbano yalivyokuwa kati ya Sumaye na viongozi wa CCM ni wazi kuwa game inasogea karibu kabisa na mahali pa ama sumaye ama CCM mmoja anahitaji ondoka mpisha mwingine. Na tayari Sumaye anaweza ingia katika akumbukumbu vyema kama atatangaza hadharani kuwa anajitoa CCM rasmi na kujiunga na wapiganaji akina Mbowe na asigombee uongozi wowote.

CCM watapiga kelele sana kuwa nataka madaraka il haitosaidia kwani hatogombea uongozi wa juu wowote zaidi ya kuwa mzee wa chama.

Kwa muonekano wa haraka CCM hawatakuwa na busara za kujibu vyema maswali yatakayoibuka mara sumaye atakavyoondoka.Hii itawapa ujasiri sana wana CCM wengi wasioridhika na hali, na baadaye patakuwa na avalanche ya defectors. Mwisho who knows CCM inaweza kufa overnight bila damu kama tulivyopata uhuru wa kwanza. Pengine damu pekee itakuwa ya walio uwawa na polisi.

Mh. Sumaye nasema nenda, tangaza nia ya kuachana na Siasa uchwara kama alivyosema Rostam. Ila tofauti ikiwa wewe haupo ktk List ya aibu, na wewe si tuu unaachana na siasa uchwara bali chama uchwara chenye siasa za Hovyo. Utakuwa umelitendea mema na haki taifa hili, na utakumbukwa kwa hilo. Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi na kujiweka ktk hatari ya kutokuwa salama. Kwa sasa ni salama kuwa CHADEMA kwani tayari kila mtu anawaangalia kwa makini wasiku-Mwangosi au Mwakyembe.

Mhe. Sumaye lianzishe tuone CCM nyumba ya mchanga inavyoporomoka kama mchanga ndani ya edifice. Na hapataihitajika tena mtu wa kuishambulia bali itaendelea momonyoka hadi kuisha kwa ulichoanzisha. Hii ndio zawadi yenye fahari kuliko huo urais, na hata kama CHADEMA watapenda kukusimamisha baada ya miaka kadhaa bado utakuwa na heshima kubwa katika historia ya nchi hii. Make it big, with big publicity na ikibidi hata with a big party. Then kapumzike baada ya jibu moja kwa Nape. Utakuwa umefunga mikia kwa utambi na kuwapiga moto huku wakiwa katika shamba la ufisadi, udini, ukanda, undugu, urafiki na ukabila.

Sumaye ukirudi nyuma kama Sitta hutakuwa na amani tena, utaogopa kivuli chako, utaogopa majani yakikugusa, utaogopa kila kitu kihusucho usalama wako. Ni bora kuondoka kwa mbwembwe kubwa instantly halafu uwape majibu ukiwa sehemu salama huku ukipata juice na heshima.

Hawa watu waoga sana mkuu usitegemee watafanya kama mzee wetu Nyerere baada ya kuona hapigani sawa sawa akaamua kuachia kazi ya wakoloni ili awe moto kabisa na abaki upande wa wanyonge kama atakufa masikini ama atakuwa ndiyo Rais let it be either of the two lakini the difference is wakati Nyerere alikuwa kijana so risk taking was still in his favour hawa wamesha onja tamu ya madaraka na umri usha kimbia so sometimes busara ya kimwili inaongoza zaidi kuliko nguvu ya roho anayewashauri either you die or live its for the good deed so you better make a sound decision of refusing to bow before a devil!
 
yeah.Tanzania tuna List kubwa ya waganga njaa hata matajiri.Na wengi wamekuwa wa take risk katika mambo ay kipumbavu sana halafu yake makubwa tunanywea.Ila this time around Sumaye akichukua risk risk kama ya Sitta kUbaki ni mbaya na ni more Riskier .CCM si chama ambacho hata mtu unaweza wavutia muda ili uje waua kwa mbwembwe.
 
Sumaye,Mukama anataka uthibitishe kile alichofanya Dr. Slaa kuwa ni sahihi.Yaani kutopeleka malalamiko yako kwa magamba na vibaraka wake.
 
Back
Top Bottom