Nenda kazime taa...

Alejandroz

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
328
378
Hello friends.

Ukiachana na "Nenda kazime taa" ni motivational words gani umezisikia kutoka kwa mwanamke.

Naanza mimi..
2. Nishukie wapi
3...

Karibuni
 
Ukiambiwa kazima taa unauziwa mbuzi kwenye gunia uyo mwanamke kama hana kasoro uko chini ni bahati yani ataki umuone

Vijana mnakazi sana, siwezi kula Tunda taa imezimwa Lazima nkuone vzr asee

Ila ninayopenda ni ile Nisaidie kutoa suruali, Napitia Mlango gani.?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1... Fumba macho nivue mwenyewe.

2... Unataka kufanyaje? Na hii ni baada ya kumvua nguo zote ile nashika pichu nataka nayo niivue ndo naulizwa hili swali.... Hawa viumbe bhana!!!

Sent using Samsung A50
 
Hao ni wazamani. Siku hizi utasikia tu halafu ujue simu yangu inasumbua mic, tena nadaiwa hela ya vikoba na kodi nayo imeisha. Hapo ujue ushakubaliwa kwa kuuziwa bidhaa kwa malipo ya kimoja kati ya hivyo vilivyoelezwa.
 
Back
Top Bottom