Necta na matokeo chakachuzi

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni baada ya kusoma uzi wa MwanaJamii aitwae VUTA-NKUVUTE humu javini kuhusu kuchakachuliwa kwa matokeo ya Kidato cha nne waliohitimu mwaka 2011,ndipo nikasukumwa na dhamira ya kutaka kujua ukweli.Nikafanya utafiti pale NECTA.Ni ukweli kuwa mitihani ilishamalizwa kupitishwa kwenye michakato yote kuelekea kutangazwa matokeo. Muda mrefu tu.NECTA walishajiandaa kutangaza matokeo hayo.

Walikuwa kwenye hatua ya mwisho ya kuyaweka matokeo hayo kwenye mtandao ('website' ya NECTA).SAUTI KUTOKA 'JUU' IKAWAAMURU KUACHA KUTANGAZA MATOKEO HAYO.Ni kutoka Serikalni.Seriklai inataka matokeo bora na sio bora matokeo.NECTA walipokwa makabrasha ya matokeo na Serikali kwa kwenda 'kutengenezwa' vizuri.

Yaliporudishwa,NECTA imeona mabadiliko makubwa.Kwakuwa kulikuwa na kumbukumbu ya yale ya mwanzo,NECTA ikaapa kuyatangaza yake ambayo ni halali.Mkono wa chuma unaendelea kuwafuata.NECTA ifanyaje?
 
Ya mwaka jana yaliwahi kutoka tena ilikuwa mwezi wa kwanza 2 ndo yakatoka,BORA 2 YATOKE HARAKA 2MECHOKA NA LIFE LA URAIANI BWANA,afu nyie necta malizeni mambo yenu yote ndiyo myatoe kwa amani na u2live na cn malumbano na serikali hii ya kipumbavu kabsa wanataka 2 wafaulishe shule zao mabwege kweli.
 
Back
Top Bottom