Ndugu zetu waliouliwa na polisi arusha wakumbukwe kama mashujaa wa taifa

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Napenda kutoa mwito kwa wachadema na wapenda amani wote kwamba hawa ndugu zetu waliouliwa polisi, wakumbukwe na tuwaenzi kama mashujaa wapiganaji dhidi ya ufisadi na ugandamizaji wa demokrasia ya kweli nchini TZ. Kama si ufisadi na kugandamizwa kwa haki ya kuwa na katiba tunayoitaka na viongozi tunaowakata wasingekufa!! Naomba pia tukumbe pia familia zao na watoto wao kwa hali na mali. Amina
 
Back
Top Bottom