Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

Fanya kitu kimoja rahisi, kaka yao si ndo analipa bills, chakula si ndo ananunua yeye na umeme yeye si ndo ananunua basi ni rahisi tu wakiacha maji wazi usiongee ukikuta we funga tu, wakiacha fan wazi hata kama ni 24hrs usilalamike ila ukibahatika kuona iko on zima, anyway chochote wakiacha kinyumechake we rekebisha then kausha... misosi we pika mpaka mingine ibaki, huyo mwanaume usimsemeshe sana na wala usioneshe unamchukia ishi nae kawaida

Mmeo anajeuri ya vipesa mbuzi siku akifukuzwa kazi akili itamkaaa sawa tu hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
 
Habari,

Hili jambo limenitesa miaka nenda miaka rudi, natamani lifike mwisho.

Wakati naingia kwenye mahusiano na huyu ambae ni mume wangu sasa, alikuja binti mmoja ambaye alikuwa ndo kamaliza form 4 (mdogo wake) akaanza kusoma cozi kwenye chuo flani.

Nikapata ujauzito so ikabidi nilete binti wa kazi. Na mimi katika maisha yetu nimelelewa na mabinti wa kazi, sipendi wateseke kabisa maana niliona walivyomsaidia mama enzi tunakua, so shida ikaanza anamuachia yule binti kila kitu afanye, hadi ampikie amuamshe chumbani, yale mambo yalikua yananikera nikaanza kumsema kwa nguvu sana, hakubadilika. Ikabidi nimwambie kaka yake. Kaka yake akasema kama unamuona msichana wako anapata shida basi nitamuekea msichana wake yeye

Ile hali ikaendelea sana kwa muda na yule binti alikua mdogo kwa hiyo ikabidi niwe napika mwenyewe, siku zikaenda akaja tena mdogo wake wa kiume, wote kazi ikawa ile ile, huyu wa kiume hadi anamwambia dada amfulie nguo. Nilikua naongea napiga mzigo nadeki mpaka mimba ina miezi nane ndo mama angu akaja.

Kiukweli niliteseka mimba ya huyu mtoto, ugomvi ndani ya nyumba hautuliii kabisaa; wakaungana wote na mama zake kwamba niachike. Na kweli mume wangu akasema natamani kukuacha ni vile tu tumefunga ndoa.

Hapo nimeskip kipindi cha ndoa maana tulifunga ndoa tayari huyu binti tunaishi nae kuna mengi yalitokea lakini nitaeleza tu tukio moja.

Usiku wa kesho yake ndio ndoa akaniambia kwa hiyo kwenye hiyo saluni uliyofanya booking na mimi nitasuka? Nikamwambia ni maids tu wewe hautaenda pale, aliangua kilio imagne na kuna wageni, mume wangu haya maswala ya maids hajui anasema kwanini unaenda kuremba watu baki unamuacha huyu? Akaninuia tumeenda kusameshana wakati wakuvalishana pete ya ndoa.

Unaweza ukahisi movie ila sio movie ni maisha watu tunapitia.

Wakati wa sherehe huyu binti na wenzake kwenye ile meza ya wazazi wangu hawakupeleka vinywaji kabisa maana wao ndo walikua kwenye hiyo kamati ya vinywaji na mama zake wadogo.

Sasa huyu binti alikuja baadae kwenda hostel mimi mimba ikiwa kubwa kama miezi 8 ambapo na mama ndo akaja. Sasa wakati wa X-mass maana ilikuwa hata bado sijajifungua kaka yake akampigia simu aje kula sikukuu nyumbani, hakuja kabisa akaenda kwa dada mmoja ambae alikuja baadae kuwa mtu wa karibu na mimi. Huyo dada akamwambia mbona hujaenda kwa kaka kula sikukuu? Akasema, KAJAZA NDUGU ZAKE SIWEZI KWENDA PALE.

Kiukweli alikua kaja mama yangu na mjukuu wake na mdogo wangu, alikuja kusalimia, nikihesabu muda kwa ujumla waliokaa pale ni kama wiki tatu, dogo akaondoka na mimi nikawa nimejifungua nikakaa wiki2 nikaondoka na mama kurudi nyumbani.

Sasa imagne watu hawajakaa hata mwezi yeye kaona kero ila wenyewe miaka nenda rudi wapo.

Alikuja kumaliza chuo ila hakupata kazi, akaenda kwao akarudi tena akasoma tena akamaliza hakupata kazi. Na hii ya mara ya pili, wembe ukawa ule ule, hafanyi chochote analala tu dada amfanyie kila kitu.

Sasa hii mara ya tatu anasoma tena ila anawahi kuondoka asubuhi jion kuna siku anachelewa kuna siku anawahi kurudi, ila ndo hivyo hasaidii chochote, yaani dada ndo afanye kila kitu.

Namuuliza anasema naoshaga sahani yangu pekee. Namuuliza na hivyo vingine anasema nawahi kuamka kwa hiyo siwezi.

Leo mpaka naandika niko bize napika yeye amekaa anachat, nikamwambia mimi siwez kukupikia wewe unachat hapo jipe shuhuli wala hajanisikia kitu. Kaenda kununua chips.

Mbaya zaidi nyuma ya pazia kuna rafiki yake mume wangu wametafutana wanapanga yao huko (na huyo kaka alihusika sana kwa yule baby mama wa mr kumuondoa)

Na kingine kikubwa ni kwamba mama yake anaona kawaida tu hata ukimwambia.

Ashawahi iba nguo zangu akaenda kugawa, aliyempa akapiga picha akaweka Insta nikaiona ile nguo nikambana akasema alimpa, nikamwambia akaifate akampigia mama ake na mama ake akasema muulize (yaani aniulize mimi) hiyo nguo ni bei gani atume ela.

Nimeruka mambo mengi ila kuna dada wa saluni pia alishawahi kuniita akaniambia kuwa makini na huyu binti anaweza akakuua.

Sasa ndugu zangu nifanyaje hapa, wako wawili yeye na huyo shemeji wote wanataka tuwahudumie kama ambavyo namuhudumia kaka yao yaani mimi na dada ndo tuwafanyie kila kitu.

Na kingine kikubwa ana mawasiliano ya karibu mno na yule dada aliyezaa na mume wangu pamoja na yule aliyehusika kupika figisu.

Nifanyaje kuimaliza hii nightmare wandugu maana kila nikimuona anapita nakumbuka machungu hasa enzi za mimba maana ilikua niachwe kwa sababu yake.

Roho inaniuma, nina uchungu sana

=======
Michango ya wadau
Omba talaka.
 
Unaonekana wewe ndio mwenye matatizo (roho mbaya) sio hao ndugu wa mume.
 
Nakumbuka kuna siku niliamka njaa inaniuma enzi hizo nina tumbo langu nikakpika mtori.

Huyu binti akaamka jua linawaka kabisa akawa anakunywa chai hapo kaka yake akapita akamuona akauliza mbona huli mtori, hakujibu kitu, basi kuna mahali tulikua tunaenda jamaa alikimbiza gari mpaka nilitamani kushuka.

Kumuuliza eti ananiambia kwanini ujawapikia wadogo zangu, sa hiyo tumbo liko kuleee. Binti wa chuo nimpikie, nikamwambia anashindwa nini kupika mwenyewe? Jamaa akasema mpikie wewe.

Mwanangu anaelekea miaka miwili ila haya mambo yananipa uchungu huyu binti sitaki hata kumuona akikatiza ndani.
Huna mume hapo.
Kubabeki.

Laki pole sana.
 
Mumeo ñi kabila gani? Na huyo alie ungua tumboni na miguuni ni nani yako na ilikuaje?

Nipe namba ya huyo wifi yako PM nimtongoze ili nimuondoe kwako serious
Haiwezekani akukoseshe raha kwenye ndoa yako
Na nikimuoa namjazia ndugu zangu nitakaa hadi na wajukuu wa mjomba wangu

Tafadhali nipe namba ya WiFi Yako.
 
Nimesoma comment zote leo Nashangaa why hakuna aliye andika Ondoka rudi kwenu mtoto mmoja tu katembeze hata uji wa ulezi. ......kama uliyo andika ni ya kweli. ... nyie wazazi wa huyu binti.... Mungu anawaona....Mm nina watoto wa kike nimejifunza hapa ni mwendo wa kumwezesha binti kwa hali zote elimu na kiuchumi...... na nitakuwa nawatembelea kila mara na kuwaita waje kwangu kila mara
 
Na hyo jamaa yako ni bomu mtu..

Mm wadogo zangu nimepigana kuwasomesha na sasa ni kama wanajitegemea kwa sehemu kubwa ila kuna mmoja walikua karibu na wife balaa mpaka wakikumbukana wanatumiana nauli bila mm kujua..

Sasa kuna siku nlikua nyumban nashangaa hawa marafiki wanapishana kama njia ya gari na ya tren mara mdogo wangu hataki kufanya chochote nyumban anatoka asubuhi anarud usiku wa saa5 anagonga anafunguliwa mlango anapiga msosi wa nguvu analala

Mara wife nae kaanza kuniandama oooh mdogo wako hafanyi lolote yaan ata usafi chumban kwake haafanyi..

Aah sasa kesho yake nimefika nyumban nimechoka tena nishakerwa huko kazini alafu nafika nyumban ndio wamewashiana moto sasa nikawaza ha wa watu waliitana wenyewe tena mdogo wangu alikua mbali kabisa na mkoa nliopo mke kabeba pesa ndan kamtumia nauli sasa wananipigia makelele?

Nliwatimua wote usiku ule nikabaki na dada wa Kazi na wanangu kesho yake namkuta mke kajikunyata barazani nikamwambia haingie ndani,mdogo wangu mpaka leo kwangu hatii mguu na maisha yanaendelea..

Mb;mama yangu alichukizwa na kile kitendo lakini alikosa point ya kunilaumu maana sio mara ya kwanza kuzinguana na hyo dogo na familia yangu maana ilikua wakiungana na wife tu ndani ya wiki wamezinguana
 
Hapo kweli mbuzi kafia kwa muuza supu asee.
Hebu jitahidi pia kufuatilia makala za mahusiano kupita fb za Dr Chriss mauki naona yupo vizuri katika saikolojia ya mahusiano pia ikibidi jaribu kuwasiliana nae...kuna njia salama na mbadala pia
 
Habari,

Hili jambo limenitesa miaka nenda miaka rudi, natamani lifike mwisho.

Wakati naingia kwenye mahusiano na huyu ambae ni mume wangu sasa, alikuja binti mmoja ambaye alikuwa ndo kamaliza form 4 (mdogo wake) akaanza kusoma cozi kwenye chuo flani.

Nikapata ujauzito so ikabidi nilete binti wa kazi. Na mimi katika maisha yetu nimelelewa na mabinti wa kazi, sipendi wateseke kabisa maana niliona walivyomsaidia mama enzi tunakua, so shida ikaanza anamuachia yule binti kila kitu afanye, hadi ampikie amuamshe chumbani, yale mambo yalikua yananikera nikaanza kumsema kwa nguvu sana, hakubadilika. Ikabidi nimwambie kaka yake. Kaka yake akasema kama unamuona msichana wako anapata shida basi nitamuekea msichana wake yeye

Ile hali ikaendelea sana kwa muda na yule binti alikua mdogo kwa hiyo ikabidi niwe napika mwenyewe, siku zikaenda akaja tena mdogo wake wa kiume, wote kazi ikawa ile ile, huyu wa kiume hadi anamwambia dada amfulie nguo. Nilikua naongea napiga mzigo nadeki mpaka mimba ina miezi nane ndo mama angu akaja.

Kiukweli niliteseka mimba ya huyu mtoto, ugomvi ndani ya nyumba hautuliii kabisaa; wakaungana wote na mama zake kwamba niachike. Na kweli mume wangu akasema natamani kukuacha ni vile tu tumefunga ndoa.

Hapo nimeskip kipindi cha ndoa maana tulifunga ndoa tayari huyu binti tunaishi nae kuna mengi yalitokea lakini nitaeleza tu tukio moja.

Usiku wa kesho yake ndio ndoa akaniambia kwa hiyo kwenye hiyo saluni uliyofanya booking na mimi nitasuka? Nikamwambia ni maids tu wewe hautaenda pale, aliangua kilio imagne na kuna wageni, mume wangu haya maswala ya maids hajui anasema kwanini unaenda kuremba watu baki unamuacha huyu? Akaninuia tumeenda kusameshana wakati wakuvalishana pete ya ndoa.

Unaweza ukahisi movie ila sio movie ni maisha watu tunapitia.

Wakati wa sherehe huyu binti na wenzake kwenye ile meza ya wazazi wangu hawakupeleka vinywaji kabisa maana wao ndo walikua kwenye hiyo kamati ya vinywaji na mama zake wadogo.

Sasa huyu binti alikuja baadae kwenda hostel mimi mimba ikiwa kubwa kama miezi 8 ambapo na mama ndo akaja. Sasa wakati wa X-mass maana ilikuwa hata bado sijajifungua kaka yake akampigia simu aje kula sikukuu nyumbani, hakuja kabisa akaenda kwa dada mmoja ambae alikuja baadae kuwa mtu wa karibu na mimi. Huyo dada akamwambia mbona hujaenda kwa kaka kula sikukuu? Akasema, KAJAZA NDUGU ZAKE SIWEZI KWENDA PALE.

Kiukweli alikua kaja mama yangu na mjukuu wake na mdogo wangu, alikuja kusalimia, nikihesabu muda kwa ujumla waliokaa pale ni kama wiki tatu, dogo akaondoka na mimi nikawa nimejifungua nikakaa wiki2 nikaondoka na mama kurudi nyumbani.

Sasa imagne watu hawajakaa hata mwezi yeye kaona kero ila wenyewe miaka nenda rudi wapo.

Alikuja kumaliza chuo ila hakupata kazi, akaenda kwao akarudi tena akasoma tena akamaliza hakupata kazi. Na hii ya mara ya pili, wembe ukawa ule ule, hafanyi chochote analala tu dada amfanyie kila kitu.

Sasa hii mara ya tatu anasoma tena ila anawahi kuondoka asubuhi jion kuna siku anachelewa kuna siku anawahi kurudi, ila ndo hivyo hasaidii chochote, yaani dada ndo afanye kila kitu.

Namuuliza anasema naoshaga sahani yangu pekee. Namuuliza na hivyo vingine anasema nawahi kuamka kwa hiyo siwezi.

Leo mpaka naandika niko bize napika yeye amekaa anachat, nikamwambia mimi siwez kukupikia wewe unachat hapo jipe shuhuli wala hajanisikia kitu. Kaenda kununua chips.

Mbaya zaidi nyuma ya pazia kuna rafiki yake mume wangu wametafutana wanapanga yao huko (na huyo kaka alihusika sana kwa yule baby mama wa mr kumuondoa)

Na kingine kikubwa ni kwamba mama yake anaona kawaida tu hata ukimwambia.

Ashawahi iba nguo zangu akaenda kugawa, aliyempa akapiga picha akaweka Insta nikaiona ile nguo nikambana akasema alimpa, nikamwambia akaifate akampigia mama ake na mama ake akasema muulize (yaani aniulize mimi) hiyo nguo ni bei gani atume ela.

Nimeruka mambo mengi ila kuna dada wa saluni pia alishawahi kuniita akaniambia kuwa makini na huyu binti anaweza akakuua.

Sasa ndugu zangu nifanyaje hapa, wako wawili yeye na huyo shemeji wote wanataka tuwahudumie kama ambavyo namuhudumia kaka yao yaani mimi na dada ndo tuwafanyie kila kitu.

Na kingine kikubwa ana mawasiliano ya karibu mno na yule dada aliyezaa na mume wangu pamoja na yule aliyehusika kupika figisu.

Nifanyaje kuimaliza hii nightmare wandugu maana kila nikimuona anapita nakumbuka machungu hasa enzi za mimba maana ilikua niachwe kwa sababu yake.

Roho inaniuma, nina uchungu sana

=======
Michango ya wadau
Chasaka wana taabu sana hasa ndugu mmoja akipata watahamia hapo na dunia nzima na masimango juu pole mwaya vumilia wewe unafanya kazi manake kama ni mama wa nyumbani watakusumbua sana wasukuma wana hii kasumba samahani lakini ni mtazamo wangu tu
 
Glenohumeral joint,
Asante sana kwa ushauri hayo yanavumilika ila kuna figisu nyingi nimeskip sijaandika.

Kuna siku aliamka usiku kujiandaa kwenda huko anaposoma akafungua bomba la chooni akaacha wazi na la nje akaacha wazi dada anakuja aamka maji yameshatoka kama lisaa hivi.

Bill ilikuja kama elfu 60 hivi ya maji.
Nilikuja muuliza kwanini anafanya hivi haya mambo akakana akasema hajaacha maji yeye. Ila kuna siku anatoka kuoga na dada ndo anaingia bafuni akakuta bomba linamwaga tu maji ndo nikambana kwamba anafanya makusudi na sio kupitiwa.

Embu niambia nifanyaje jamani moyo unashindwa kuyabeba yote haya
Aiseeee huyo wifi yako mwanga sio bure na ukiona anakufanyia hivi uishi nae kwa akili sana atakuwa na mawasiliano ya karibu sana na huyo mwanamke aliyeachika yaani asilimia mia na huyo mumeo kashikwa akili silaha hapo ni kufunga kwa maombi ipo siku MUNGU atafanya na nyumba yako itarejea kwenye Amani na wewe kama umesoma jitahidi kutafuta kazi au kufanya biashara watakuogopa
 
Nimesoma comment zote leo Nashangaa why hakuna aliye andika Ondoka rudi kwenu mtoto mmoja tu katembeze hata uji wa ulezi. ......kama uliyo andika ni ya kweli. ... nyie wazazi wa huyu binti.... Mungu anawaona....Mm nina watoto wa kike nimejifunza hapa ni mwendo wa kumwezesha binti kwa hali zote elimu na kiuchumi...... na nitakuwa nawatembelea kila mara na kuwaita waje kwangu kila mara
Kweli kabisa na ndio maana kuna wazee wengine kama wana uwezo huwa wanawajengea kabisa nyumba hata kama mumewe anahela ili siku akisikia chubwii anamrudisha mwanae kwenye ile nyumba aliyomjengea kama mume anampenda ataenda ishi nae huko huko tuone hao ndugu wasiokuwa na haya kama watanusa pua zao huko
 
Ushauri mwingine nakupa kama una shughuli unafanya jitahidi kwa kadri ya uwezo wako nunua kiwanja jenga kwa jina lako ipangishe kuna leo na kesho ikitokea siku huyo mumeo kafariki wallah nakuhakikishia kwa hizo naafsi za hao ndugu wa mume zilivyo na fikra za kimasikini na husda watakuchomoa kama mkuki amini nakuambia ishi nao kwa akili sana na Mungu akuongezee maarifa utajanikumbuka
Paula Paul,
Nishajaribu mara kwa mara kukaa nae lakini hakuna hatua yoyote anachukua.

Napenda sana kusikiliza mahubiri jumapili nzima.siku moja naweka mahubiri huyu mdogo wake wa kiume akabadili akaweka mziki na nilikua hapo hapo.eeeh nikamwambia tunaangalia wenzanko mahubiri.akanza oooh wee kaa jikoni sijui nini yaani kashfa kibao.(anavuta bangi)

Basi nikaenda nikamueleza scenarii hiyo kaka ake,yeye akasema unheona anataka kuangalia yeye ungemuachia remote.

Kweli jamani hata kikitokea nini utamwambia tena
 
Nakushukuru.na pia nawashuku wote Mungu awabariki sana
 
Mumy hawa dawa yao ni kutokuongea kabisaa fanya pale unapoweza mengine puuza jipe furaha kabisa uone mwsho wao
 
Paula Paul,
Nishajaribu mara kwa mara kukaa nae lakini hakuna hatua yoyote anachukua.

Napenda sana kusikiliza mahubiri jumapili nzima.siku moja naweka mahubiri huyu mdogo wake wa kiume akabadili akaweka mziki na nilikua hapo hapo.eeeh nikamwambia tunaangalia wenzanko mahubiri.akanza oooh wee kaa jikoni sijui nini yaani kashfa kibao.(anavuta bangi)

Basi nikaenda nikamueleza scenarii hiyo kaka ake,yeye akasema unheona anataka kuangalia yeye ungemuachia remote.

Kweli jamani hata kikitokea nini utamwambia tena

Unajali mambo madogo madogo sana. Mengine potezea.
Ukitaka uishi vizuri mengine potezea. Me waliwahi kuniambia mbele ya kaka Yao ukiona kaka yetu Ana wanawake wengi ujue anapendwa na shughuli anaiweza. Tena wanaosema hivyo ni wanawake wamenipita parefu washafikia miaka 40 kasoro. Nilibaki mdomo wazi na kujiepusha nao maana niliona wananichefua tu.

Usiombe uwe na wifi asiye na kazi halafu awe hajaolewa....utajuuutaaa
 
Pia swala la saloon ulishindwa kumuunganisha wifi yako kwenye list ya wanaopambwa wakati anayelipia ni kaka yake?? Yani mtu una kaa nae humo ndani na ni mmoja tu kwanini yeye akapambiwe mtaa wa 20 wakati hata hapo unapoenda ni saloon? Mama mengine Kama ulivyoambiwa umeamua kushindana na wifi yako Ila mwisho wa siku atashinda yeye ndoa utaiacha. Mpuuze hata kwa kinafiki japo ni ngumu
 
Back
Top Bottom