mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Kwanini wasimpokee? hebu tueleze sababu ambazo wewe unaona CDM wasimpokee MtatiroCHADEMA wasimpokee mtu wa namna hii kabisa, labda ajiunge na tlp ya mrema
Kwanini wasimpokee? hebu tueleze sababu ambazo wewe unaona CDM wasimpokee MtatiroCHADEMA wasimpokee mtu wa namna hii kabisa, labda ajiunge na tlp ya mrema
Mtatiro ni mwelewa ndio maana yupo CUF kwa sababu ameangalia vyama vingine ni vya UKOO na UKABILA ndio maana amekaa CUF na nafsi yake imeridhika.
I think time will tell everything ndugu zangu, haya yanayoitwa maswali nilishayajibu katiku threads kadhaa hapa JF. Nilishaeleza kama CHADEMA wanawadanganya wananchi kuwa CUF ni CCM B ili wapate ngazi ya kupandia, ni jukumu la CUF kujibu propaganda hizo kwa kuwaeleza wananchi hali halisi ya SUK - ZNZ. Na nilisema hatutakaa kimya ili wananchi waendelee kudanganywa, hata kama Propaganda hizi za CHADEMA zitawasaidia kwa sasa na kuionesha CUF siyo lolote hazitaisaidia CHADEMA mbele ya safari. The problem of propaganda politics is that - it can not be permanent!
Nasisitiza kuwa CUF ni chama imara kwa namna kilivyo na kina misingi thabiti, yanayotokea sasa ni UPs and DOWNs ambazo zina mwisho wake. Na kama watu wanadhania siasa ni nyepesi kama wazionavyo wasubiri TIME, time tells everything.
Masuala ya kujiunga CHADEMA nilishayatolea ufafanuzi, mimi ni mwanachama wa CUF, siwezi kukimbiulia CHADEMA ati kwa sababu is the vibrant party more than CUF right now.
Wakati najiunga CUF , chadema ilikuwepo. Kama CUF inafanya vibaya katika uchaguzi mmoja au chaguzi kadhaa mfululizo ni jukumu la wana CUF kujipanga zaidi wao na viongozi wao.
Ikiwa tutakimbilia CHADEMA ati kwa sababu tumefanya vibaya Igunga tutakuwa hatufikiri vizuri. Kwani na CHADEMA nayo kesho na kesho kutwa ikifanya vibaya tunahamia wapi tena? Kila mmoja wetu ana tafsiri ya SIASA, kwangu siasa ni zaidi ya itikadi na ni zaidi ya maisha! Kwangu Siasa siyo jambo la mchezo wa kukimbia huku na kule, siasa ni kazi kubwa na inahitaji utulivu na kujipanga kwa hali ya juu.
Ukiwa kiongozi wa chama cha siasa wewe siyo bidhaa na usikubali kugeuzwa bidhaa.
Kuna watu wengine wanadhania mie nilijiunga CUF kutafuta vyeo, that is not true at all. Kama ni vyeo nimevishika sana kabla ya CUF, tokea primary school nimekuwa kiongozi wa ngazi ya juu, advance, chuo kikuuu n.k. Sikuwahi kuwa na pesa za kuwahonga watu wanipe uongozi. Waliniona na wakanichagua wenyewe. Nilijiunga CUF kama mwanachama na baadaye nikapewa Uongozi, siyo dhambi, nina haki ya kuchaguliwa na kuwa Kiongozi iwapo mamlaka zimeona hivyo, na siku mamlaka hizohizo zikiona siwezi uongozi zitanitoa na kumkabidhi mwingine.
Naweza nisitosheleze maswali haya lakini nimejhitahidi kujibu kwa kadri nilivyoweza.
Mtatiro.
Sikukimbia ndugu yangu, sikuingia JF wiki kadhaa zilizopita kwa sababu za kimtandao, nadhani mijadala haifi, ipo na itaendelea kwani watu wananongelea kilichomo siyo kilichofunika.Naona ulizingatia ushauri wangu wa kupotea na kukaa kimya, sasa unaibuka tena. Muda bado dogo potea kabisa ikiwezekana mpaka January mwakani ndiyo ujitokeze tena. To early kuanza kuongea ongea!
Sikukimbia ndugu yangu, sikuingia JF wiki kadhaa zilizopita kwa sababu za kimtandao, nadhani mijadala haifi, ipo na itaendelea kwani watu wananongelea kilichomo siyo kilichofunika.
Thubutu yake..Hakuna aliyesema ulikimbia, haya kama uko tayari twende kule kwenye mjadala wa helkopta naomba unijibu hoja zangu zote! Hoja kwa hoja ok?
Tuanze na hii hapa chini:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...zwa-na-jussa-wala-hamad-rashid-mtatiro-2.html