Ndugu Julius Mtatiro: Naomba kuelimishwa..!!!

WATANZANIA TUNAPIGA SANA KURA ISIPOKUA WALE WAPIGA KURA MARUANI SIKU ZOTE WANATUZIDI IDADI WAPIGA KURA TULIOHAI, NA MTAJI WA CCM KUTISHA WANANCHI

Wa-Tanzania tunnapiga sana kura isipokua wale Wa-Tanzania WAFU WASIOONEKANA ni wengi zaidi kuliko wale wanaoonekana kwa macho na wenye uamuzi kuchagua kukipigia kura chama tofauti na CCM.

Hivi karibuni kumeibuka aina ya demokrasia mpya nchini ya (1) demokrasia ya Bastola kiunoni kwenye kampeni za kisiasa, (2) Matumizi ya maruani kwenye daftari la wapiga kura ambalo ni miliki ya CCM tu, (3) uhuru wa rushwa za mapishi na nafaka kwenye kampeni, na hivi sasa (4) ubunifu mpya kwa CCM kuibuka na fesheni mpya ya
'CCM GREENGUARD MUNGIKI' na utekaji, uchomaji nyumba za watu ubakaji na kadhalika.

Hivyo ni muhimu ikawekwa kwamba
DAFTARI LA WAPIGA KURA liwe likifanyiwa uhakiki na CHOMBO HURU kinachokubalika na vyama vyote vya siasa nchini.

Vile vile ni vema utaratibu ukawepo wa wazi zaidi kwamba uchaguzi wowote unapoitishwa katika jimbo lolote lile basi ni sharti vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi huo vishiriki moja kwa moja kufanya uhakiki mwingine, hata kama uhakiki wa kile chombo huru kilimalizika tu jana yake, ili kuwepo na uwanja sawa kwa waashiriki wote kwa wakati husika.

Huwezi kumridhisha mtu yeyote aakilini kwamba daftari la wapiga kura aliloliacha Rais Mstaafu Mkapa zaidi ya miaka kumi iliopita ndio bado hutumika kuendeshea uchaguzi mpaka leo kwa kuwa watakaokua wamekufa ni wengi sana hapo kati kati ambo majina yao yafaa kuondolewa kwenye daftari hilo kabla CCM inayohodhi utunzaji wa daftari hajaamua kutumia faida ya WAFU KUTOWEZA KUJIELEZA hivyo kuelekeza kura zao zote kwake jinsi apendavyo.

Na huo ndio demokrasia ya CCM miaka yote huku akiwatisha na wale waapiga kura wachache waalio hai wasijitokeze.

Kwa misingi hii inamaanisha kwamba Tanzania hatujawahi kuwa na kitu FREE AND FAIR ELECTIONS isipokua geresha.

SWALI ZITO:

Siku zote tunasikia wananchi kuhongwa kwenye uchaguzi, Je pale ambapo ChamaChenyewe kama KAFU ndicho kinachohongwa kama ambavyo ilivyotokea pale usiku wa uchaguzi na Mtatiro kuandaa Speech siku mbili kabla ya kupiga kura - mpaka hapo sasa wananchi ambao wao wanadai kutaka kuwakomboa na umasikini nchini hadi hapo wananchi wanaoamini KAFU sasa wakimbilie wapi??????

Kama unadhani ni utani ngoja uje usikie MOTO MKUBWA CUF baada ya Mtatiro kuamua kulamba sukari mwenyewe tu baada ya kuona Muhona kajiaharibia kwa kutwanga wapiga kura makonde mazito mazito.

KAFU kwisha habari kisiasa tena nchini.
 
Mtatiro ni mwelewa ndio maana yupo CUF kwa sababu ameangalia vyama vingine ni vya UKOO na UKABILA ndio maana amekaa CUF na nafsi yake imeridhika.

Sasa kama ni hivyo mbona anakuja hapa jf kulialia? Si abaki kwenye chama chake kizuri cha kidini? au Aende kwa chama mme wao ili aungane na majambazi?
 
Tatizo la CUF ni kumkumbatia Lipumba kama mwenyekiti zaidi ya miaka 20,,, jifunze kutoka kwa Freeman Mbowe kuachia nafasi ya urais kwa Dr huo ndoo msingi wa siasa bora,,, tatizo Lipumba anaangalia sana luzuku ya ucha guzi kuweka mfukoni kama mgombea wa urais na kujua kama chama kitashinda kisishinde yeye kashaweka mfukoni luzuku CUF watajua wao huu ndoo mwanzo wa CUF kupata kura 1 wakati wenzao wana zaidi ya 10000.
 
I think time will tell everything ndugu zangu, haya yanayoitwa maswali nilishayajibu katiku threads kadhaa hapa JF. Nilishaeleza kama CHADEMA wanawadanganya wananchi kuwa CUF ni CCM B ili wapate ngazi ya kupandia, ni jukumu la CUF kujibu propaganda hizo kwa kuwaeleza wananchi hali halisi ya SUK - ZNZ. Na nilisema hatutakaa kimya ili wananchi waendelee kudanganywa, hata kama Propaganda hizi za CHADEMA zitawasaidia kwa sasa na kuionesha CUF siyo lolote hazitaisaidia CHADEMA mbele ya safari. The problem of propaganda politics is that - it can not be permanent!

Nasisitiza kuwa CUF ni chama imara kwa namna kilivyo na kina misingi thabiti, yanayotokea sasa ni UPs and DOWNs ambazo zina mwisho wake. Na kama watu wanadhania siasa ni nyepesi kama wazionavyo wasubiri TIME, time tells everything.

Masuala ya kujiunga CHADEMA nilishayatolea ufafanuzi, mimi ni mwanachama wa CUF, siwezi kukimbiulia CHADEMA ati kwa sababu is the vibrant party more than CUF right now.
Wakati najiunga CUF , chadema ilikuwepo. Kama CUF inafanya vibaya katika uchaguzi mmoja au chaguzi kadhaa mfululizo ni jukumu la wana CUF kujipanga zaidi wao na viongozi wao.

Ikiwa tutakimbilia CHADEMA ati kwa sababu tumefanya vibaya Igunga tutakuwa hatufikiri vizuri. Kwani na CHADEMA nayo kesho na kesho kutwa ikifanya vibaya tunahamia wapi tena? Kila mmoja wetu ana tafsiri ya SIASA, kwangu siasa ni zaidi ya itikadi na ni zaidi ya maisha! Kwangu Siasa siyo jambo la mchezo wa kukimbia huku na kule, siasa ni kazi kubwa na inahitaji utulivu na kujipanga kwa hali ya juu.

Ukiwa kiongozi wa chama cha siasa wewe siyo bidhaa na usikubali kugeuzwa bidhaa.

Kuna watu wengine wanadhania mie nilijiunga CUF kutafuta vyeo, that is not true at all. Kama ni vyeo nimevishika sana kabla ya CUF, tokea primary school nimekuwa kiongozi wa ngazi ya juu, advance, chuo kikuuu n.k. Sikuwahi kuwa na pesa za kuwahonga watu wanipe uongozi. Waliniona na wakanichagua wenyewe. Nilijiunga CUF kama mwanachama na baadaye nikapewa Uongozi, siyo dhambi, nina haki ya kuchaguliwa na kuwa Kiongozi iwapo mamlaka zimeona hivyo, na siku mamlaka hizohizo zikiona siwezi uongozi zitanitoa na kumkabidhi mwingine.

Naweza nisitosheleze maswali haya lakini nimejhitahidi kujibu kwa kadri nilivyoweza.

Mtatiro.
 
Naona ulizingatia ushauri wangu wa kupotea na kukaa kimya, sasa unaibuka tena. Muda bado dogo potea kabisa ikiwezekana mpaka January mwakani ndiyo ujitokeze tena. To early kuanza kuongea ongea!
 
Naona ulizingatia ushauri wangu wa kupotea na kukaa kimya, sasa unaibuka tena. Muda bado dogo potea kabisa ikiwezekana mpaka January mwakani ndiyo ujitokeze tena. To early kuanza kuongea ongea!
Sikukimbia ndugu yangu, sikuingia JF wiki kadhaa zilizopita kwa sababu za kimtandao, nadhani mijadala haifi, ipo na itaendelea kwani watu wananongelea kilichomo siyo kilichofunika.
 
mtatiro, mimi nakujua sana na bahati nzuri nimepatakuwa kiongozi wa chuo fulani enzi ww ni waziri mkuu mlimani pale, tatizo lako
Kubwa na ambalo litakusumbua sana ktk maisha yako ya siasa ni pupa ya kupata madaraka makubwa haraka haraka na ndio sababu cuf walilenga kwa kukupa madaraka makubwa wakati bado uwezo wako wakuelewa mambo ni mdogo, lengo la cuf lilikuwa kukutumia wewe kama mtaji wao wakuwapata vijana especially wale wa mlimani, matokeo yake watu wamezielewa hizo hila na wameelewa kuwa uongozi unaotakiwa ni wawatu wenyekufikiri kwa kina ambao tunao wachache sana katika vyama vyetu

ukitaka kukubalika upya kwa cuf basi ni lazima ujue wapi mlipokosea, na ni nini kifanyike ilikufuta makosa hayo kwa wananchi.

malumbano ya kuendelea kujibizana na chadema kwa vijimaneno vya taarabu yanakupunguzia credit na yanaonyesha ni kiasi gani uwezo wako wa kufikiri unavyozidi kushuka ktk uwanja huo wa siasa.

Siasa zako za kulialia kama ulivyolia zanzibar(tahliso) ndio unaziendeleza huko cuf, uta uwa chama kama ulivyochangia kuua tahliso ya kipindi hicho katika mkutano wa iringa mkwawa ambapo wewe na rais wako deo wajumbe waliamua mtolewe tahliso kwakuwa mlikuwa mpokimaslahi yenu zaidi,

sio siri wewe unaweza kuwa kiongozi mzuri ukiacha kasoro zako na kutoingia kwa pupa katika game hili la siasa, bado unasafari ndefu kwa umri wako jenga imani zaidi kwa jamii achana na kutumika kushabikia kitu hata ambacho wewe mwenyewe unaamini ni kosa ila kwasababu unahusika nacho basi unakipaka mafuta hii haikubaliki ni bora unyamaze, good day bro.

acha malumbano
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom