Ndugai awaweka JK na Pinda Ulingoni, Ngeleja Tia maji Kichwani Sasa

Kuna kila dalili ya mshtuko mkubwa hapo NOVEMBA Bungeni. Kama nilivyosema vuteni subira by Jumapili au pengine the earliset tommorow tutaweka tetesi hizi bayana baada ya kukamilisha upembuzi wa kadhia hii kwa serikali ya awamu ya Nne
 
Hapo aliposema "dharau zenu hukohuko" alimaanisha kuwa dharau zao huko huko serikalini kwani inaonesha Ndugai anajuwa wanamdharau Bosi wao (******) so waendelee kumdharau yeye na BUNGE
 
Hapo aliposema "dharau zenu hukohuko" alimaanisha kuwa dharau zao huko huko serikalini kwani inaonesha Ndugai anajuwa wanamdharau Bosi wao (******) so waendelee kumdharau yeye na BUNGE

Kiitikio cha huu ubeti Mkuu kinaelekea kuwa tofauti na ala alizozitegemea Ndugai kuwa zingeiremba hii songi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom