Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,312
104,209
Ndoto za mwanadada "nguli wa siasa" Juliana Shonza kuwa mbunge zimeyeyuka. Hivi sasa anasubiri kupenya kwenye tundu la sindano. Ni kama kusubiri jambo ambalo ana uhakika haliwezi kutokea.

Juliana alipendekezwa na chama chake kuwa mbunge wa viti maalamu, ambapo mapendekezi hayo yangetegemea uwingi wa kura za wabunge wa chama chake.

Kwa uwiano wa kura za wabunge wa CCM na UKAWA ni dhahiri sasa viti vya CCM vimepungua na wanaweza kupata viti 47-50 kati ya viti 92 ambapo vingine vitaenda UKAWA!! Kwa kuwa Juliana sio kipaumbele katika chama chake hategemewi kupewa ulaji huo.

Wachambuzi wanasema viti 50 kwa CCM ni vichache sana, vitaishia kwa wakongwe na watu wenye mchango mkubwa chamani.
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa
 
Mmeamua kumalizia hasira zenu kwa mtoto wa watu.. Unfair. Mi namkubali.
 
Mungu amsaidie apate mana ccm ina wenyewe lazima wapate kwanza watoto wa wakubwa na wengine wakongwe
 
Ni utaratibu mbovu kwa chama kinachoangalia wakongwe tu badala ya kuchanganya na vijana wanaochipukia.Itakuwa very unfair.

Ni lazima kuwe na succession Plan

She deserves.Waache u-primitive sasa
Heshima yako Ben,nimekubali umekomaa sawa sawa,Tanzania ni moja,vijana ni nguvukazi ya Taifa.nitakutafuta tuongee zaidi
 
Hapana mpo wrong! Juliana Shonza alishinda kuwa namba 1 ktk mkoa wa kichama CCM wa Songwe na kuna mikoa 31 y kichana na yyt aliyeshika nafasi ya kwanza ataenda

Tumchukie weweeee lkn kuanzia week ijayo Juliana Shonza anapata diplomacy passport sisi wengi hapa tutaendelea ku hold hizi hizi passport za Blue ehehhe

Ukweli unao uma
 
Last edited by a moderator:

Diplomatic bongo? Nchi ambayo ukiwa Australia wanadhani ni state ya ZA
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom