Ndoto ya Hayati Magufuli ilikuwa kujenga Ikulu kubwa kuliko zote Duniani, Rais Samia ameikamilisha kwa upendo mkuu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake

Au Mbowe wa Chadema kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao makuu lililoachwa na mzee Bob Makani

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya Chadema

Mlale Unono!
tikitiki maji la kwanza hilo
 
Kitendo cha kutumia sanifu (design) ya Ikulu ya Waingereza ya mwaka 1922, ilikuwa ni kosa la kiufundi katika karne hii.
Muonekano una historia kubwa sana, na ndio waliona wautumie ila ukija ndani ni vitu viwili tofauti kuanzia ubora, muundo wa ndani mpaka na vitu vingine ambavyo sivijui kutokana na unyeti wa jengo la taasisi hii muhimu
 
Watu wajinga sana.Ikulu kubwa inagusaje maisha ya Watanzania maskini ? wanyonge
 
Kitendo cha kutumia sanifu (design) ya Ikulu ya Waingereza ya mwaka 1922, ilikuwa ni kosa la kiufundi katika karne hii.
Hua nabishana sana na watu kwenye hili, ila kama tungefanya ubunifu wetu huenda ingependeza zaidi na zaidi. Mwisho wa yote tunapongeza jitihada hizo za kua na Ikulu kubwa Dodoma, ndoto ya muda mrefu imetimia sasa.
 
Wabongo huridhishwa na tuvitu tudogo tudogo mno...

Mbongo akisikia kuwa nchi yake ina jengo la ikulu kubwa kuliko yote Afrika, hapo anaweza hata akaamini nchi yake ni kinara wa uchumi Afrika yote...

Yafaa nini kuwa na "matofali na saruji" nyingi iliyotumika kujenga jengo kubwa alitumialo mtu mmoja anayelishwa kwa kodi za wananchi wakati wananchi walipa kodi wanaishi kwenye makazi duni?
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
Wewe mzee unafahamu ikulu ngapi hapa duniani?.
Elewa kwamba huwezi kuijua ikulu yoyote ilivyojengwa, kwa asilimia 100.
Hivyo maneno yako ni ya uongo tupu.
 
Muonekano una historia kubwa sana, na ndio waliona wautumie ila ukija ndani ni vitu viwili tofauti kuanzia ubora, muundo wa ndani mpaka na vitu vingine ambavyo sivijui kutokana na unyeti wa jengo la taasisi hii muhimu
3a5798e8-2766-44f9-a790-0a8cbd84fb53.jpeg
 
Mwenye ndoto (Maono) huwa ni mkuu kuliko mtekelezaji wa hayo maono. R. I. P JPM, hakika ulikuwa kiongozi bora kabisa katika nyakati zetu.
Ndoto ya kuhamia Dodoma hujui ni ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa kuwa iilikuwa ni ndoto yake tangu mwaka 1973, Mwalimu Nyerere alipotangaza Dodoma kuwa mji mkuu na kwamba serikali itahamia huko? Hawa wengine wamekuja kutekeleza tu
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
Marehemu alikuwa na ndoto za kiuwendawazimu mnoo.
Una uhakika kabisa kuwa marehemu hakuwa mvuta bangi?
 
Wabongo huridhishwa na tuvitu tudogo tudogo mno...

Mbongo akisikia kuwa nchi yake ina jengo la ikulu kubwa kuliko yote Afrika, hapo anaweza hata akaamini nchi yake ni kinara wa uchumi Afrika yote...

Yafaa nini kuwa na "matofali na saruji" nyingi iliyotumika kujenga jengo kubwa alitumialo mtu mmoja anayelishwa kwa kodi za wananchi wakati wananchi walipa kodi wanaishi kwenye makazi dunj?
Shida kubwa ya nchi hii si viongozi bali ni wananchi walio wengi ambao mawazo yao ni kama ya mleta mada. Nchi masikini kama hii mtu anajivunia serikali kutumia mabilioni kujenga ikulu eti kubwa duniani wakati kilomita chache kutoka kwenye ikulu hiyo kuna raia wanaishi kwenye vijumba vya matope vifupi kama mashimo ya sungura. Vipaumbele vyetu ndio shida
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
Ikulu kubwa kuliko zote duniani kwa hela ya mkopo! Hapo Dodoma watu hawana maji ya kunywa.
 
Back
Top Bottom