johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,805
- 143,273
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.
Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.
Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.
Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.
Mlale Unono!