Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 416
kuna jamaa aliota ameokota gunia la pesa,katika kulibeba akagungua kuwa limetoboka na pesa zinadobndoka na pia akagundua halijafungwa juu hivyo likawa na matundu mawili,yaani juu na chini lilipotoboka,ikabidi kwa juu alishike kwa mkono mmjo na chini alizibe kwa mkono uliobaki.,lahaula ,kushtuka usingizini kumbe kajikaba shingoni na mkono mwingine kajitia kwenye t.u.n.d..u lake la h.a.j.a kubwa.