toghocho
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 1,172
- 198
eti jamani wadau, ni ndoto gani ambayo hutaisahau? mi nakumbuka nikiwa form 2, niliota sista angu anapika nikaenda jikoni kumuangalia nikakuta kapika dagaa wazuri sana, walikuwa wa kukaangwa, nikamuomba anionjeshe, ile naonja tu nikastuka nimelamba mkono mtupu.... wewe ni ndoto gani ambayo hutaisahau?