Ndolanga achezea kichapo msikitini

Status
Not open for further replies.
Hapo tu ndiyo nawapendea ndugu zangu waislamu. Wao hawajui kukopesha, unafanya mzaaa unapewa hapohapo. Hakuna cha kusubiri.

Ni mwendo wa jino kwa jino; hakuna ukipigwa kofi kushoto geuka na kulia uongezewe!
 
habari za Ndolanga mbona zilitangazwa sana ikawaje tena akaaminika msikitini? sitaki kuamini au ni udaku huu

inaonekana huipendi hii habari. jitahidi kuvumilia, usiibatize kijina.
 
walikua kwenye tukio?

It seems your intelligence is so low that you can't see the simple message in my posting! Kwani lazima u-comment kwenye kila kitu hata pale uwezo wa akili umefikia kikomo?
Ungeuliza maana ya post yangu ningekuelewesha bila shaka, lakini wewe umekurupuka tu bila ku-analyze unaleta utumbo wako uliooza hapa!
 
Jambo la msingi hapa ni kuwa hii taasis haijui ilitendalo, kama kweli ndolanga alikuwa/ni mjumbe wa baraza la wadhamini wa msikiti akifanya jambo lisilotakiwa anatakiwa ashitakiwe katika vyombo husika na kwa kufuata taratibu/katiba/ miongozo ya baraza la wadhamini. Nilitegemea kusikia ameshitakiwa BAKWATA ama BAMITA ama kwenye shura ya Maimam au taasis yoyote ya kiislam, inashangaza kuwa wanamvua nguo mwislam mwenzao tena msikitini kisha wanampeleka polisi au hawa polisi ni taasis ya kulinda maimum?!, hawajifunzi kwa wakatolik ambao hushitakiana ndani ya vyombo vya kanisa na hukumu zinaheshimika?. OK, labda angekuwepo KADHi wangeshitakia huko na si kupigana ngumi na kisha kupelekana kwa Afande Mwema.
Labda mahakama ya Kadhi ingesaidia kuamua hii kesi, Nafikiri serikali iwafikilie sasa, Maana hawana MAHALI PA KUPELEKA KESI ZAO, Ndio maana wameishia Magomeni POLISI.
 
unatuletea siasa msikitin hapa tunataka ukwel unazan upo FAT au TFF hapa ni ukwel umeakula hela ni kichapo tuu
 
Huyu Kawaida Yake anafanana na Maalim Seif Ukitaka Kumuondoa basi Ujue Utaondoka weye...

Hapo Msikitini waanze kujiandaa pa kwenda kwani atawaondoa kwa njia zozote zile... na kama wamemtoa Damu wajue atawamwaga Damu Zao pole zao walioshiriki kumtikisa Ndava huyu
 
uislam ni dini yako haki kama aliyakanyaga wacheni apewe haki yake ili heshima ibaki pale pale
kwa funzo alilolipata mnazani atarudi tena kichangani aaah wapi labda sio yeye
nina furaikia kuwa muslamu alhamdulillah
 
Wamakonde kwa ubabe hadi kwenye mambo ya mungu kwa umri wake sasa ilihitaji apate faraja ya kulea wajukuu wake badala ya kujikita kwenye mabo yasiyokuwa na tija
 
Hebu nieleweshe, hapa amefanya ubabe gani?!, au yeye siyo mdhamin wa msikiti?, wewe umeamua kutetea wahuni?!, ok. Umesema wamakonde ni wababe; waliomvua nguo na kumjeruhi ni kabira gani?!. Kwa taarifa yako waliofanya uhuni huu watajuta kwani ndolanga si rika lao, nadhani watakimbia mtaa.
Wamakonde kwa ubabe hadi kwenye mambo ya mungu kwa umri wake sasa ilihitaji apate faraja ya kulea wajukuu wake badala ya kujikita kwenye mabo yasiyokuwa na tija
 
Alhaji Ndolanga kila sehemu ni lazma aibuke mshindi, bora wadau walivyo mshikisha adabu.
 
Mungu analipa hapa hapa duniani. Huyu habithi si ndiye aliyemuua Stan Katabaro kwenye ujambazi wake na Mwinyi kwenye kashfa ya Loliondo. Na bado. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Ndolanga alichokipata pale msikitini ndiyo saizi yake...huyu jamaa kila sehemu anajifanya mbambe
 
Hebu nieleweshe, hapa amefanya ubabe gani?!, au yeye siyo mdhamin wa msikiti?, wewe umeamua kutetea wahuni?!, ok. Umesema wamakonde ni wababe; waliomvua nguo na kumjeruhi ni kabira gani?!. Kwa taarifa yako waliofanya uhuni huu watajuta kwani ndolanga si rika lao, nadhani watakimbia mtaa.

Mkuu Ndolanga ni Muhuni tu, na wala sio mdhamini pale kaletwa na walaji wenzake eti aje kuwapangia waumini wa msikiti wa Kichangani mambo ya kufanya. Labda ungeuliza chanzo nini ndio umtetee Ndolanga
 
Nadhani ni mkakati wake wakurudi kwenye vyombo vya habari kama hivi
 
nilisahawahi sema ukimkaribisha nguruwe nyumbani kwako ataingia na wewe msikitini
utapeli wa ndolanga FAT naona kaamua kuingia nao Msikitini yamkini awamkuvua nguo
si haba pole yake
 
Mungu analipa hapa hapa duniani. Huyu habithi si ndiye aliyemuua Stan Katabaro kwenye ujambazi wake na Mwinyi kwenye kashfa ya Loliondo. Na bado. Malipo ni hapa hapa duniani.

Umenikumbusha shujaa stan katabalo, machozi yanilengalenga, RIP STAN
 
Ili watu ambao ni viongozi kuwa na nidhamu ni vizuri huu mtindo wa kuwapa kichapo papo hapo ukaendelea ili watafakari kabla ya kutenda jambo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom