NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo
Sheria za wakristo ni kwamba hakuna ndoa kuvunjika na hakuna kuoa tena, kiuhalisia hili ni jambo ambalo ni mtihani, kwamba kijana rijali kabisa akishindwana na mwenzake harusiwi kumuacha na kumuoa upya ?? hiki ni kituko aisee,,,, halafu walotunga hizi sheria ni mapadre ambao maishani mwao hawaruhusiwi kuoa kabisa, ndoa ikkushinda eti uende kwao upewe mafundisho ya ndoa, hivi wao wana uzoefu gani kwenye maisha ya ndoa ??
na ndio maana hizi sheria zipo kinadharia tu lakini katika uhalisia haziwezekani, hii ndio sababu ikbidi serikali iingilie katikuziba hayo mapunufu kwa kutunga sheria ambazo zimekuwa mkombozi kwa wakristo, mkristo ndoa ikimshinda atapambana mahakamani kuipata civil divorce aachane na aweze kuoa upya, zile sheria za kikristo hana mda nazo,,,
Hivi mtu umekaa na mwanandoa mwenzako hakuna amani nyumbani ni mikwaruzo kila siku, mmeoana ndio unakuja kugundua aliyaficha makucha yake na sasa kayachomoa, anakunyima unyumba, anachukia ndugu zako, n.k. hapa kuna ndoa tena ??