Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,038
- 94,715
Mwalimu wako alipata shida sana kukufundisha.Iko hivi kwanza ukienda mahakamani watakuuliza Kwanza kuhusu bakwata,yaani hawawezi kusikiliza kabla hujapitia bakwata.
Bakwata Makao Makuu wanatoa talaka na inatambulika kisheria,,Ila kama ni ndoa ya ugomvi na purukushani wao hawaivunji Bali mnaenda kumalizana mahakamani.
Kwahiyo sio kwamba Bakwata imepokonywa kabisa mamlaka ya kuvunja ndoa laa! Ila Kwa mazingira hayo niliyo taja ndo unaenda mahakamani
Baki na ujinga wako.