Ndoa ya wake watatu yafungwa kanisani DRC

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,976
32,379
Wanabodi,

Mwanaume mmoja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) aliyejipachika jina Fela Anikulapo Kuti, kaingia Kanisani akiwa na wanawake watatu na kufunga nao ndoa ya pamoja.

Ndoa hiyo imefungwa na Mchungaji mmoja raia ya Kongo mchungaji huyo alitumia vifungu kadhaa vilivyopo katika biblia ambayo makanisa yote ya Kikirsto duniani wanaitumia.

SOURCE: MWANANCHI AGOST 8 2012
 
Hilo ni kanisa la mitume. Huwa wanaoa wake wengi utakavyo. Cha msingi ni watu kujua neno la Mungu linasemaje. Kwani hapo mwanzo Mungu aliumba mtu mume na mtu mke. Hivyo basi ni mume mmoja na mke mmoja. Haya makanisa yanayochakachua neno la Mungu yasiyumbishe watu. Tusome neno tulielewe wenyewe kwa msaada wa Roho Mtakatifu. Ukisubiri mtu asome halafu akutafsirie alichosoma matokeo ni hayo ya kudanganywa.
Wanabodi,

Mwanaume mmoja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) aliyejipachika jina Fela Anikulapo Kuti, kaingia Kanisani akiwa na wanawake watatu na kufunga nao ndoa ya pamoja.

Ndoa hiyo imefungwa na Mchungaji mmoja raia ya Kongo mchungaji huyo alitumia vifungu kadhaa vilivyopo katika biblia ambayo makanisa yote ya Kikirsto duniani wanaitumia.

SOURCE: MWANANCHI AGOST 8 2012
 
Ritz anyone can smell the rat in you miles awaaaaaaaay,ukiona kituko kwenye kanisa unafurahi.Kwa hiyo yule chizi anaezunguka na bible dar kwenye mabaa akihiza watu kunywa pombe nae utasema kanisa?
 
Back
Top Bottom