Ndoa Ya Uzeeni

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125




Tangu jadi mapenzi hayatambui umri, rangi wala kabila. na ndio maana katika eneo la maralal mzee wa miaka 90 alifanya harusi na mkewe aliye na umri wa miaka 80.Ilikuwa sherehe maalum iliyojawa na kila aina ya furaha kati ya wapendanao waliojaaliwa watoto
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom