Ndoa ya kisiasa ya CUF na CCM inaweza kutetereka?

aah mambo ya wanandoa wao wenyewe wanajuana, wanajua program zao vip watamalizana wee acha usiku ufike ni wao tuu wanajua chakufanya.
 
Wala haitetereki maana wao wana agenda moja kupunguza nguvu ya UMMA ili simple majorty ashinde! Ni mkakati wa wanandoa
 
Mkuu hao ni wanandoa atii wanatukanana mchana usiku wanakutana chumbani
Wakuu, mwinukai,mashikolomageni na Mthuya, wenyewe hawapendi hili neno!.
imeelezwa hilo neno ndoa ni tusi kwa wenzetu!. angalia hapa
Matusi hayo.

Mimi ni CCM lakini wewe Pasco hii lugha uliyotumia hapa ni ya kishenzi na si lugha ya kisiasa.

Punguani wahed.
Nisianze nini wewe? hakuna ndoa ya kisiasa duniani, sijawahi kuona, onesha moja kama u mkweli.

Hizi lugha za kishenzi pelekeni hukohuko, kama kwenu ni kawaida wengine zinatuudhi. kama huo si ushenzi na matusi ni nini?
Muafaka wa kisiasa wa Zanzibar ni faraja kubwa kwa Wazanzibari kushirikiana na kuijenga nchi yao, na huo muafaka si ndoa, kufikiri hivyo ni kuwatukana Wazanzibari na matusi si uungwana.

Hayo yalianzia huku bara baina ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ikiitwa ndoa ikapigiwa kelele kuwa hilo si neno jema ni kutukanana, siku hizi halitumiki sasa

Natoa wito tusilitumie tena neno hili neno ndoa ya CCM na CUF!, ni matusi!.

Pasco
 
Back
Top Bottom