Ndoa ya Irene Uwoya na Ndikumana yavunjika!!

Laana nyingine tunazitafuta wenyewe tuhangaike nazo. Utaolewaje na mu usiyempenda?
 
Jamani waandishi mtahukumiwa, Uwoya mwenyewe facebook kakana. Inaelekea watu wanapenda watu yawatokee mabaya, ndo maana wanaweza kuandika uzandiki kama huu, siamini Uwoya anaweza jibu hivo hata kama ni ukweli, she is not saint to that much hata akasema ukweli kiasi hicho.
 
Si habari nzuri watu wanapoachana hasa baada ya kuapa kuishi daima pamoja, natamani iwe ni kama mapito tu na wasawazishe tofauti zao na waendelee kuishi pamoja. Mungu hatawaacha naamini atawapigania.
 
Alikaa jela ya Lusaka huko, walinaswa boda,jamaa(mcongo) alimtengenezea passport ya Zambia pretending to be a Zambian national,boda wanashangaa mtu ana passport ya zambia then haongei lugha yao. Kulikuwa na mtu anafanya ubalozi wa TZ Zambia siku moja taarifa inaletwa ubalozini kuwa kuna "raia" wenu kafungwa gerezani ndo mtu yule kushtuka baada ya kuona jina (Irene Pancras Uwoya)maana alikuwa anafahamiana na mama yake(Irene) akawasiliana nae wakaanza mchakato kumtoa. Hakumaliza kifungo chote Mkuu. Ni demu wa kushoboka labda akikua ataacha!

Hata mimi naifahamu hiyo story, huyo aliyemsaidia alikuwa hafanyi ubalozi wa TZ alikuwa anafanya FAO zambia, ila alikuwa anafanya na mama yake irene Ofisi ya waziri Mkuu siku za nyuma, ndo mama yake irene akaenda Zambia akatolewa. Wakati anaondoka alimdanya nya mama yake anaenda Uingereza kusomea mambo ya modeling
 
nani kunguru kati yao???
kitanda usicholala hujui kunguni wake!
mambo ya ndoa huwa ni magumu sana.....sipendi kuyaongelea kama siyajui uzuri


Mama sio mambo yote ya ndoa magumu, mengine yanaonekana tu kwenye macho ya jamii, haya umaruhusiwa kuyaongelea hata kama huyajui uzuri, unatumia ushahidi wa mazingira.
 
Nikajua haupitii sana jukwaa la selebritiz, sorry honey nilikosea spelling si unaona hiyo uwoya ilivofanana na cantalisia?
Khaaaa my swty!
Kweli darling wangu naona ulikosea kidogo,
Hata mie nimeona ulikosea kidogo tu,
Wala sina hofu na hao wavimba macho huko,
Naridhika kuwa 1st lady wako,wao ndio wafuatie lol!
 
Kamanda nakushauri ubaki na Cantalicia huyu Yuyoya humuwezi ni mchezaji wa 'premier' na simu aitumiayo ni Zantel( habari za striti ) sijui umenielewa ?
Asante my shem wangu kwa kunipaisha kwa my darling,
Raha moja mie sina wivu,atahangaika akichoka akirudi hm atanikuta nimejaa tele kwa raha zote lol!
 
Back
Top Bottom