Ndoa ya Irene Uwoya na Ndikumana yavunjika!!

Vijistaa vya kibongo kwa mbwembwe ,anafikiri atakuwa na umbo na uzuri alionao milele.Wanachokosea ni kuwa hawaangalii maisha ya baadae,nani atakuwa anampenda sura itakapokunjamana na umbo kutokuwa na shape maalumu !!
 
inaonekana kasahau mtaa ulivyo na msoto! atuulize sie tulio mtaani tunasota miaka na miaka hatujapata bahati hiyo then yeye anachezea?! Pole yake na akaribie kitaani kwetu tuunde kambi!
 
maskini mkaka wa watu! Atajuuuuuuuuuuta kukutana na Jambazi la mapenzi! hili gauni possible lipo alichukue na awe ananusa milele make ndoa ya mke mumoja na mume mumoja hadi kifo ndo imeota mbawa hivyo! May be akawe Padre
 
kumbe hajaanza leo ufuska .kuna mtu alishasema % kubwa ya hawa watoto wanaogombea umiss ni mafuka walioshindikana .Sasa naanza kupata picha
Uwoya Irene ana asili ya kushobokea watu wenye pesa/maarufu. Alimshobokea Ndikumana kwa sababu aliwika tu kidogo that time kimpira na kule kucheza nje ya nchi. Irene akiwa Uganda aliwahi acha shule akafuatana na mwanamume Mcongo wakaenda Lubumbashi, Lusaka na hataimaye kutaka kutorokea US wakivuka border ya Namibia wakakamatwa akafungwa gereza la Lusaka- Zambia huko. Ni kijidemu cha namna hiyo!
 
du! basi kazi ipo
akawatukane wakina ray na kanumba aliowavulia chupi alafu wakamtafutia bwana..huyu mumewe kama mlishawahi kusoma alivyompata alikutana na kina ray akaanza kumwomba jinsi ya kumuingia haka kabinti...mwisho akahaidiwa hela nyingi sana sana na hata wakina rey usione wana hela wamekuwa makuwadi sana wa wanawake wanafanya nao pcha mbaya wanawavua wao kwanza alafu wanawauza

loh irene wakuwoooooooooooooooowaaaaaaaa
 
It was just a matter of time, it was going to happen sooner or later. sioni wa kumpa pole hapo!
 
The way the cookie crumbless.. some of the ladies these days wanaone proud to get out of their marriages. By the way, what do you expect from a women who beheves like her?

Hakuna jipya
 
Uwoya Irene ana asili ya kushobokea watu wenye pesa/maarufu. Alimshobokea Ndikumana kwa sababu aliwika tu kidogo that time kimpira na kule kucheza nje ya nchi. Irene akiwa Uganda aliwahi acha shule akafuatana na mwanamume Mcongo wakaenda Lubumbashi, Lusaka na hataimaye kutaka kutorokea US wakivuka border ya Namibia wakakamatwa akafungwa gereza la Lusaka- Zambia huko. Ni kijidemu cha namna hiyo!
Katika yote hili sikuwahi kulijua kuwa demu keshakaa lupango!!!!! Duuuuuuh kumbe hafai hata kwa kulumangia kwa kachumbari.
 
akawatukane wakina ray na kanumba aliowavulia chupi alafu wakamtafutia bwana..huyu mumewe kama mlishawahi kusoma alivyompata alikutana na kina ray akaanza kumwomba jinsi ya kumuingia haka kabinti...mwisho akahaidiwa hela nyingi sana sana na hata wakina rey usione wana hela wamekuwa makuwadi sana wa wanawake wanafanya nao pcha mbaya wanawavua wao kwanza alafu wanawauza

loh irene wakuwoooooooooooooooowaaaaaaaa

Kama wakina Ray na Kanumba wamekula kwanza ndio wakauza mzigo kwa faida hauna noma kabisa!
 
Alikuwa anahojiwa na Salama akasema yeye ni mpigaji mzuri sana wa pombe hata asubuhi. Akasema pia A Y ni rafiki yake sana ila hakusema kama ni mpenzi wake
 
Alikuwa anahojiwa na Salama akasema yeye ni mpigaji mzuri sana wa pombe hata asubuhi. Akasema pia A Y ni rafiki yake sana ila hakusema kama ni mpenzi wake

kumbe ulichek ehee anajisifu kuwa mnywaji yeye ni muadhirika wa pombe awez maliza siku bika kunywa.bora jamaa katua mzigo uhu wa misumari she don deserve 2be a mama.
 
imekaa poa ila loh! sasa kwann alizaa mweh!
Yaani Aminata nashindwa kukuelewa kabisa imekaa poa jamaa kuachwa! Haya bana, ngoja na wewe uje upigwe chini halafu mtu aseme imekaa poa ndiyo utajua uzuri wa kuachwa.
 
wana mambo hawa dada zetu. tatizo hawaelewi ujana wao unaisha mapema mno, kiasi kwamba hata kina sie tunakuwa hatuwatamani tena
 
Back
Top Bottom