fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,417
- 7,970
Nawashauri wanaume na wanawake,msiishi pamoja bila ndoa,fungeni ndoa hata bila sherehe,na sio lazima mvae nguo za gharama,kama ni wakristo nendeni kanisani hata kwa daladala,kama ni waislamu fungeni ndoa,alikeni ndugu tu,pikeni chai na maandazi mkaanze maisha.Mungu atakuleteeni baraka za ajabu.Kwa mnaokabiliwa na ugumu wa kuoa au kuolewa njoo inbox nitakusaidia,ni bure hakuna malipo.wiki hii yote ntakuwa tabora