Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,812
- 59,374
Groan yangu ya kwanza imekuendea wewe!Kama huna cha kushauri ni bora ukapita tu kuliko kumpotosha dada wa watu!Au we ulishatoa ukamtuliza mwenzako?Kama ndivyo hongera sana!Mpe tigo!ili atulie!
Groan yangu ya kwanza imekuendea wewe!Kama huna cha kushauri ni bora ukapita tu kuliko kumpotosha dada wa watu!Au we ulishatoa ukamtuliza mwenzako?Kama ndivyo hongera sana!Mpe tigo!ili atulie!
Huu mkataba wa ndoa yao ni batili si majority age ni 18? kwa hiyo hapo wakati anaingia mkataba tayari alikuwa haqualify kuingia, pole mdogo ndio dunia hiyo, unaweza mkimbia huyo ukaenda vaa mwingine malaya, hakupi matumizi, anakupiga, anachelewa kurudi, ana gubu, na mengineyo hivo jaribu kuongea nae mmeo mwambie hupendi anavyokufanyia mwitie na watu wazima wawepo ikishindikana kabisa na unaona kutoka rohoni huwezi vumilia, anza mbele, usije kufa na preshaPole sana dada upo kwenye ndoa kwa mda wa miaka 6 kwa maana hiyo uliolewa chini ya miaka kumi na nane yaani uliolewa ukiwa na 17yrs na uhakika wkt unaolewa ulikuwa hujitambui na ulikuwa huelewi ni nn maana ya maisha sasa unafunzwa na dunia. Imradi uliamua kuubeba mzigo wa hao wanawake 2 walio pita huna budi kuvumilia mpaka mwisho.
Pole, ila wewe huyo mwanamume humpendi hata kidogo, na kisaikolojia inaonekana upendo wako kwake upo kiuchumi zaidi. Kama hayo niliyoyasema hapo juu si kweli basi hakuna haja ya kuwa na mtu ambaye yupo kinyume na matakwa yako, wewe ni mwanamke unayo mamlaka ya kuamua juu ya mumeo, hao wote waliokushauri uvumilie ni ushauri mbaya na hao hawafai, ningekushauri kama hauna pesa, jitahidi uandae mipango ya kugawana mali, yaani hakikisha unaweza kuziangalia mali zote mlizochuma pamoja na baada ya hapo mweleze msimamo wako, then mwambie yeye aamue, narudia tena wewe ni mwanamke unanguvu kubwa kushindwa mwanaume katika mahusiano, labda uwe hauna uwezo kiuchumi, lakini kama unaweza kujitegemea, wanaume wapo wengi sana, tena kwa huo umri utaolewa na utaishi maisha mazuri hata ukiwa alone ni bomba. UKIMWI UNAUA!!!!
Hahahahahaa watu mna maneno???????Jaribu mfupa uliomshinda fisi, pengine wewe utauweza/:becky:
Ndio huyo huyo, ila safari hii ameongeza chumvi... Maana na yeye ameamua kuwa mwasherati.we miss nora si kuna thread nimesoma humu leo unasema una hawara au ni miss Nora mwingine?
hapo tuko pamoja mkuu,umetoa ushauri mzuri sana.