Ndio najua leo, Mtwara hawaruhusu sheli kujaza mafuta basi likiwa na watu

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Nipo Mtwara natokea Lindi kwa kosta; ndio tunaambiwa tushuke sheli coz hawaruhusu kujaza mafuta sisi tukiwemo ndani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dar hamna hiko kitu na mabasi kila saa sheli na sisi tupo; hii sheria ipo Mtwara tu au Mtwara ndio wanaitii tu?
 
MTANGAZAJI: watu wanadai wamakonde hwajui kutofautisha M na N kwenye herufi M wanaweka N mfano Mtwara wanaita Ntwara je hii ni kweli?

MMAKONDE: Hapana sio kweli hiyo inategemea Ntu na Ntu πŸ˜€
Aunt nitakupiga🀣🀣🀣🀣
 
Kuna siku nilipanda daladala ya Kariakoo-Nyuki, tulipofika njia panda ya IPTL(sijui mnaita Skanska) tukaingia filling station, konda akashuka na sijui ikawaje dada mhudumu akachomoa pipe ya diesel, ile pipe ilikuwa na wese(sijui aliminya bahati mbaya). Jamani yule konda alimwagikiwa wese hadi tukaogopa, tena wese lenye pressure ya hatari. Sasa imagine kungekuwa na spark kidogo pale si tungekuwa majivu!
Hongereni wana Mtwara kwa kufuata sheria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom