CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Wengine hunyoa wengine hufuga..........je zina umuhimu wowote ule? Hizi ni baadhi ya styles
Ndevu zipi mojawapo? kuwa specific Mpwa nikusaidie
Unvutiwa za aina ipi?
- O
- Sharafa
- Kijembe
- Mustachi
Hahahhaaa..hizi zinachoma bana.Kwenye hugging inakuaje sasa??
Alafu ndevu zina watu wake bana.... Waweza muangalia mtu usimalize.
Kwa kifupi zinahusika sana!
hebu tupe hizo maana zake mkuuZa chini ya kidevu zina maana yake mpwa. Ila zile za utajiju yaan juu ya mdomo zinamanufaa sana nipim nikupe.