Ndege za Jeshi Dar

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,448
Toka jana naona ndege za njano mbili zinakwenda kasi pamoja, mwenye kufahamu atueleze nini kinaendelea hapa Dar
 
Kama ni hivyo vindege vya njano...Wanafanya Mazoezi na mafunzo kwa marubani!Usipate hofu,nchi ipo na utulivu japo amani imeshatoweka
 
Ni vindege vya kizaman vya kivita vya kichina vinaitwa j10 ndio vinapita pita kutishia chadema ilimradi jk avute cku
 
Hao marubani wanafunzi....na Sijui kwanini hawajakoma kuwafundishia mjini ..majuzi tu waliangusha ndege...akafa mwalimu na mwanafunzi...na nyngine ilitua vibaya wakasalimika..
mwaka Juzi tena walitua kwa dharura Barbara kuu ya korogwe akafa mwalimu na mwanafunzi .....

Sehemu salama ya marubani wanafunzi ni kule Ngerengere...
 
wanajiandaa na sikukuu ya muungano tarehe 26,,,kutakuwa na "air show".....
 
MAKOSHNELI kama wewe kweli ni CHADEMA nikimaanisha unachosema, unachowaza na unachotenda ni chadema basi chama chako ni hatari kwa usalama wa nchi yoyote hapa Duniani. Yaani unadiriki kusema eti vindege vya kizamani, j10 vinatishia CHADEMA JK avute siku? Yaani jeshi litumike kutishia CHADEMA? what is CHADEMA my dear?
 
Achana nao hawa ni wasiopenda maendeleo. Mi nakuhakikishia watu wa aina hii hata wasikie chadema wanefanya ovu gani basi watalitetea na kufanya liwe jema, lkn CCM wafanye jema lolote basi wataliponda tu. hawana kheri hawa..

btw mi mwenyewe tangu majuzi (kama wiki) naona izi ndege, lakini nazikuta ni rangi ya njano mpaka najiulize za wapi zile??? Nikafikiri mazoezi ya kujiandaa na malawi...
 
tuna wanajeshi wana weza kupasua tofari kwa ngumi sasa sijui wameshindwa nini kuwangoa mafisadi au kero hizi haziwagusi mama zao,baba zao...
 
Nipo maeneo ya kisutu ,Naona fighter jet zina pita pita angani kama kuna maonyesho ya airforce hivi! Wenye info tujuzuzeni tafadhali.
 
jamani kuna ndege zinapita kwa kasi sana hapa dar. zinakwenda kwa spidi kiasi milio.yake inastua sana. kuna nini?
 
jamani kuna ndege zinapita kwa kasi sana hapa dar. zinakwenda kwa spidi kiasi milio.yake inastua sana. kuna nini?

hata mimi nimeziona, tena zinapita mbili mbili karibu karibu na chini chini kwa kasi sana. Halafu zimefana kama zile za kurusha makombora kwenye masinema
 
jamani kuna ndege zinapita kwa kasi sana hapa dar. zinakwenda kwa spidi kiasi milio.yake inastua sana. kuna nini?
 
Any official news regarding hizo airplanes ? Its very scary to hear those sounds.
 
Back
Top Bottom