Ndege ya Jeshi iliyokuwa kwenye msafara wa Waziri wa Ulinzi Kenya yaanguka

F16 Falcon

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
750
1,632
MK254 njoo uone masrepa yenu huku sio kutwa nzima unakomaa na NATO vs One man Army (PUT IT IN) aka the bear rider

---

1689877692747.png
Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limethibitisha kuwa Helikopa ya Jeshi la Angani Kenya ilianguka katika eneo la Chemolingot, Tiaty.

Kulingana na taarifa iliyotolewa kwa umma mnamo Alhamisi, Julai 20, helikopta hiyo ilianguka baada ya kugonga mti ilipokuwa ikiondoka kwenye Uwanja wa Chemolingot kaunti ya Baringo.

"Jioni ya leo, helikopta ya Jeshi la Wanahewa la Kenya, Fennec iligonga mti na kuanguka ilipokuwa ikiruka kutoka uwanja wa Chemolingot kuelekea Nairobi," KDF ilisema.

Bila kutaja majina, walisema abiria wote walishuka salama na walikuwa katika hali nzuri .
 
Back
Top Bottom