ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,128
- 49,849
- Thread starter
- #81
Ripoti ya CAG na kununua ndege mtumba vinahusianaje?View attachment 2858738
Ripoti ya CAG 2022 ilibainisha hayo!
Rais alikuwa ni huyu mama yenu msimsingizie dikteta uchwara Covid -19 ilikua ishamfyekelea mbali.
Mama anaweza kununua magoli ya Simba na Yanga na sio vipuri vya ndege.
Mama anaupiga mwingi .