Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,372
- 2,375
Mi nilifurahi nilifikiria Nchi imesha pinduliwa.Kumbe matatizo sio Tz.
kweli aisee
Mi nilifurahi nilifikiria Nchi imesha pinduliwa.Kumbe matatizo sio Tz.
Come on now! kama ni mlima maarafu duniani kwa nini hizo hoteli zilizo karibu na KIA zisiwe kwenye sites???? Jawabu ni uzembe wa wizara ya utalii na serikali period.
RIP Co-Pilot Haroun Ally (24), you were also diverting from Arusha Airport to KIA only few meters before landing you died baada ya ndege kuishiwa mafuta. We are still mourning your death and u didnt even enjoy the fruits of your carrier.
Kuna haja ya usalama wa anga kuimarishwa kwa Tanzania hasa inapotokea emergence kama hii ya midege mikubwa kudivert to KIA. Imagine dogo hapo juu mwezi uloisha alitaka kutua Arsuha akakutana na giza nene plus ndege nyingine inayotaka kutake off, akaamrishwa kurudi KIA. Kilichompata na mauti na wahusika wamekaa kimya hadi leo hii.
umesahau kuwa bongo karibu kila sekta inaendeshwa na wazembe wavivu wa kufikiri na kufanya kazi
tanesco, usafiri baharini,mawasiliano,hospitali nk ni baadhi ya maeneo yenye uzembe mkubwa