Ndalichako wa necta azidi kuanikwa - mwanahalisi

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Kuna makala moja ktk gazeti la Mwanahalisi la Leo kuhusu majibu ya Dk Ndalichako aliyoyatoa Zanzibar alipokutana wanahabari.
Hoja ya msingi.
Ndalichako amekataa kukiri kwamba mtihani 2011 ulivuja. lakini alidai kwamba wapo wanafunzi waliokutwa na majibu ya mtihani ndani ya simu zao. Jee walipata wapi majibu haya?
Lakini mwandishi amedai Ndalichako hakusema source ya message hiyo. inawezekana zilitokea ktk shule zilizopata div 1 yaani st.
Amedai walimu na wasimamizi walihusika kwa kiwango kiubwa.
hoja kama hivyo ndivyo, huu ushahidi wa NECTA waliupata wapi au ndio huu unaolalamikiwa wa Kufikirika uliofanywa kwenye meza za mahotelini wakati wa vikao?

hoja kwamba wanafunzi walikuwa wakipeana vikaratasi ndai ya Chumba.
Jee kama wanafunzi 120wanapeana vikaratasi, jee kitakuwa chumba hicho au soko la wauza samaki?
Lakini wasimamizi hawa sio ndio waliopewa na tuzo na NECTA 2010 kwa usimamizi uliotukuka?
Eti dk ndalichako amekataa kukiri mtihani umevuja ili kulikimbia joto la Vyombo vya habari na wanharakati, isipokuwa anatumia njia hii ya kuwakndamiza watoto kwani sauti zao hazisikiki.
Alipoulizwa anahisi vipi sheria hii ya miaka 3 kwa mwanafunzi aliekutwa na hatia. alijibu aaaaa ndio sheria ban.
Hivi sheria hii kwa watoto wa Zanzibar mbona darasa la 7 2011 wameruhusiwa licha ya kuiba mitihani inayotungwa na hawa hawa walioshindwa Kazi yaani NECTA ya Ndalichako?


DK ndalichako na kundi lake wanatakiwa wajiuzulu kwa kashfa hii nzito, vyenginevyo
 
Back
Top Bottom