Nchimbi kupata PhD

Mbona walikuwa wanamwitwa Dr? Kumbe hakuwa na PhD? Au hii ya Mzmbe itakuwa ya pili...maana bosi wake anazo tatu/nne!

Res ipsa loquitur. Huyu bwana ametudhihirishia kwamba alikuwa anaudanganya umma wa watanzania, mpaka pale Kainerugaba Msemakweli alipowakurupusha na kuwafanyia stripping hadharani mabwege hawa wapenda sifa. Kwa mwenye akili ya kawaida tu, hakuhitaji rocket science kujua kwamba Nchimbi hafanani hata na Master's degree, nini Phd? Tunapozungumzia mastery ya language, jamaa ni 0% na unashangaa hiyo flawless language kwenye thesis yake kaitoa wapi kama siyo kukodisha watu wa kumuandikia, tena inawezekana ni hapo hapo Mzumbe. Halafu kesho naye anakwambia anataka Urais. Phew!
 
Wana JF,

Kwa mujibu wa habari tulizopata muda huu, ni kuwa hatimaye Mh. Emmanuel Nchimbi amefanikiwa kumaliza PHD yake aliyoianza mwaka 2004.
Katika PHD hiyo ambayo alikuwa akifanya utafiti wa uhusiano wa umasikini na mikopo midogo midogo katika mazingira ya wajasiliamali wa Tanzania wanaoukutana na vikwazo kadha wa kadha kama vile umeme, kushuka kwa thamani ya shilling, mzunguko mdogo wa hela na nguvu ya soko ya nje wanavyoweza kutoka kwenye lindi hioli la umasikini.

PHD paper yake ilipelekwa na kusahihishwa taasisi ya Development Studies ya UDSM kama external na walimpa alama ya A nilivyoambiwa.

Nakaribisha maoni yenu kama ifuatavyo: -
1. Mzumbe haina status,
2. Kaandikiwa ni kilaza,
3. Anajisafisha baada ya kuona anaandamwa,
4. Tuletewe tuipitie hapo jamvini (anaedai tena ni std 7),
5. Hatuitambui kabisa,
6. Huu ni uzushi,
7. Hata masters hana mbona,
8. Ni ya kisiasa hiyo,
9. Mimi hata sisomi hii thread
11. Huyu alietuma ni mpuuzi, mjinga, analeta utoto hapa,
12. Nae anataka urais,
13. Kumbe ni rahisi sana,
14. Tupe source ya taarifa,
15. Lini alipata muda wa kufanya huo utafiti,
16. Kapendelewa na walimu wa mzumbe na udsm pia
17. Nimeambiwa utafiti wenyewe ni shallow sana,
18. Mwalimu mmoja wa mzumbe kaniambia kuwa wameamua kumwachia tu,
19. Shule za bongo ni za ajabu kweli hivi mzumbe wanaweza kutoa PHD kweli,Mzumbe walimu wote wana PHD fake likewise na wanafunzi pia,
20. Nampongeza kama ni kweli.

Graduation itakuwa mwanzoni mwa December. Kama una maoni yafananayo na naapo juu yani namba 1-20 , changia kwa kuweka namba inayowiana namchango wako tu inatosha kama ni tofauti basi karibu.
Hii NJAA wahadhiri wa MUZUMBE ITAWAUA.Wahadhiri wa mzumbe hi! NIJE NA SH. NGAPI? NA MI MNIPE HYO Phd
 
He! Sasa kwa nini siku zote hizi alikuwa anaitwa Dr. Nchimbi wakati alikuwa bado hajapata PHD? si ndo uchakachuaji huo na kwa nini asishitakiwe kwa utapeli?
 
Apewe pongezi zake kama kuna mtu anamdai basi ampeleke mahakamani. Period!
 
Watanzania kwa kupenda title za uchwara....Ukiotoa Mzumbe hivyo vyuo vya mheshimiwa Nchimbi ni vya online, tena haviko accredited!!
Newt Gangrich ni kichwa (PhD), lakini hata siku moja hujasikia sijui DR/PROF./ENGINEER. NEWT GINGRICH

hata Rais Obama ana PhD, tena ya Harvard lakini aaah! kimyaaa...
 
Sasa kwanini alikuwa anaitwa Dr. Nchimbi miaka yote hiyo?
...Kwa nini Maji Marefu anaitwa Profesa chuo gani kilimtunuku huo u-profesa???...Hakuna kinachoshindikana chini ya jua nyie tulieni tu hata mkipiga kelele matokeo hayatabadirika......Si mnaambiwa kila siku ujanja kupata sio kuwahi............:lol::nerd:
 
Siku hizi elimu haina thamani kama ilivyokuwa hapo awali; kupata PH .D wakati huo watu walikuwa wanaota vipara siku hizi wanazinunua wakina Nchimbi wanatunukiwa wakiwa na full crop of hair [Bwenzi] jinsi ilivyokuwa rahisi. CCM kuna tabia ya kununua vyeo kama vile alivyonunua mwenyekiti CCM wa mkoa wa Iringa JA; tabia hii sasa imeletwa kwenye taaluma na sasa hivi nae Lukuvi atanunua PH.D!!
 
Res ipsa loquitur. Huyu bwana ametudhihirishia kwamba alikuwa anaudanganya umma wa watanzania, mpaka pale Kainerugaba Msemakweli alipowakurupusha na kuwafanyia stripping hadharani mabwege hawa wapenda sifa. Kwa mwenye akili ya kawaida tu, hakuhitaji rocket science kujua kwamba Nchimbi hafanani hata na Master's degree, nini Phd? Tunapozungumzia mastery ya language, jamaa ni 0% na unashangaa hiyo flawless language kwenye thesis yake kaitoa wapi kama siyo kukodisha watu wa kumuandikia, tena inawezekana ni hapo hapo Mzumbe. Halafu kesho naye anakwambia anataka Urais. Phew!
Hahahhahahahahaha kumbe urais ni kiingereza!wewe kaputi kweli unadhani ni Membe tu ndio anafaa kuwa rais.hata kama kaandikiwa na viva voce ulimfanyia wewe kitimbakwila wa Membe.
 
Res ipsa loquitur. Huyu bwana ametudhihirishia kwamba alikuwa anaudanganya umma wa watanzania, mpaka pale Kainerugaba Msemakweli alipowakurupusha na kuwafanyia stripping hadharani mabwege hawa wapenda sifa. Kwa mwenye akili ya kawaida tu, hakuhitaji rocket science kujua kwamba Nchimbi hafanani hata na Master's degree, nini Phd? Tunapozungumzia mastery ya language, jamaa ni 0% na unashangaa hiyo flawless language kwenye thesis yake kaitoa wapi kama siyo kukodisha watu wa kumuandikia, tena inawezekana ni hapo hapo Mzumbe. Halafu kesho naye anakwambia anataka Urais. Phew!
Na unaposema mastery ya language ni ziro umeipima wapi na kwa language ipi......au wewe ni TOEFL kamanda
 
Hii NJAA wahadhiri wa MUZUMBE ITAWAUA.Wahadhiri wa mzumbe hi! NIJE NA SH. NGAPI? NA MI MNIPE HYO Phd

Wewe hujui hata utaratibu wa mtu kupata phd.....hakuna chuo kimoja kinachoweza ku award phd bila kushirikisha external kutoka chuo kingine.walimu wa udsm walipitia tena proffesor na walikuwepo ktk viva voce.wewe endelea kuuza karanga tu
 
He! Sasa kwa nini siku zote hizi alikuwa anaitwa Dr. Nchimbi wakati alikuwa bado hajapata PHD? si ndo uchakachuaji huo na kwa nini asishitakiwe kwa utapeli?

Wewe mbona unamwita baba yako baba unajuaje kama ndio alimpa mama yako ujauzito?sio kila jambo lazima ujue na tena kimeandikwa kila kitu mpaka link za college waliompa imewekwa.sasa kama unashindwa tu kusoma waliotuma wenzio hapa kabla hujatuma upupu wako utaweza hata kumaliza o lever na credit 3 wewe.aibu
 
Back
Top Bottom