gmosha48
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,399
- 1,478
Wa TZ tunaona fahari sana kuitwa wasomi hata kama mambo madogo tu ya kawaida yanatushinda! Huyu bwana niliwahi kuhudhuria sherehe fulani ambapo alitakiwa atoe speech fupi tu kwa kimombo. Alichokifanya kilisababisha wa TZ wengine tuliokuwa eneo la tukio tutamani kujificha. Jamaa alivunja mbaya, kana kwamba hiyo haitoshi, jamaa akapiga nje ya maada kabisa. Iko wapi sasa thamani ya PhD?
Walau huyu bwana ameonesha umakini kwa kupambana na kubeba U-daktari wa Falsafa wa ukweli hapa hapa bongo baada ya kukosea "mlango wa choo" katika attempt ya kwanza. Sielewi sana huu upondaji wa Mzumbe unaanzia wapi, ikumbukwe kwamba Thesis ya PhD hupelekwa kwa External Examiner aliyebobea na inaporudi candidate lazima afaulu "Viva Voce" examination.
Anastahili Hongera bila kujali hayo meengi yanayosemwa.