Nchi za Ulaya zinazotoa elimu ya chuo kikuu bure kwa wanafunzi wa kimataifa!?

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,315
Habari wandugu!?

hivi karibuni nimesikia kwamba kuna nchi za Ulaya k.v Sweden, Finland, Norway e.t.c zinatoa elimu bure kwa wanafunzi wa kimataifa. je kuna mtu anafahamu accomodation, living expenses, na mengineyo lukuki yamekaaje? je unahitajika kuwa na vitu gani ili uqualify kupata admission yao? je GRE, Toefl na Ielts znahitajika?

Tafadhali wandugu!?
 
Ni kweli hizo nchi zinatoa elimu bure hasa kwa ngazi ya Masters na rafik zangu waganda wanasoma unalipiwa kila kitu na bado unalipwa pesa za matumizi.

Vigezo bado sijajua ni vipi ila ni kweli.
 
Nakupa mfano wa Finland.
1. Uwe na TOEFL au IELTS zenye pass marks za 6-9
2. Sasa hivi wanataka ufungue acc# kwao, mara ya mwisho ilikuwa uwe na 10,000$ kwa sasa sijui ni kiasi gani.
3. Tuma applications kupitia tovuti Yao, wao ndo wananafanya screening ya vyeti vyako then wanakupitisha.
4. Kama unaapply undergraduate basi itakubidi uende kufanya matriculation test kwao au uorganise na embassy(kwa baadhi ya courses) ili ufanye. Wale wa masters hawafanyi matriculation wao wanachujwa tu.
5. Accommodation and other living expenses ni juu yako.
6. Tuition fee ni BURE ILA nimesikia wanataks kuifuta hasa kwa hawa wanaosoma degree ya kwanza...
7. Applications ni kuanzia Nov-Febr kwa wanaoomba masters. Undergraduate ni May-July nadhani..
 
Nakupa mfano wa Finland.
1. Uwe na TOEFL au IELTS zenye pass marks za 6-9
2. Sasa hivi wanataka ufungue acc# kwao, mara ya mwisho ilikuwa uwe na 10,000$ kwa sasa sijui ni kiasi gani.
3. Tuma applications kupitia tovuti Yao, wao ndo wananafanya screening ya vyeti vyako then wanakupitisha.
4. Kama unaapply undergraduate basi itakubidi uende kufanya matriculation test kwao au uorganise na embassy(kwa baadhi ya courses) ili ufanye. Wale wa masters hawafanyi matriculation wao wanachujwa tu.
5. Accommodation and other living expenses ni juu yako.

Kuna chansi ya kupiga box huko?
 
Hivyo vigezo nyanya sana, $10,000 si kama m16 hivi mtu ukiwa serious unapita tu ili mradi huko kuna chansi ya kupiga job hata ya kupata $1000/fn. Wenye elimu zenyu muombe nafasi huko kuna university moja yaitwa University of Southern Finland buree kbs Masters.

Vipi baada ya kumaliza wanatoa na Graduate viza ya mda gan? Na kupata PR je?
 
Wanatoa GV na ni renewable kila baada ya miaka miwili, japo wanaangalia kama una permanent employment. Kama huna yaweza kuwa mbinde. Lakini wanatoa. PR kwa wanaotoka nchi zetu hizi ni hadi uishi kule 5yrs, then unaweza kuomba PR.
 
Back
Top Bottom