Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

CNN bhana! Eti is Coronavirus being accurately measured in Africa!
Kwa swali lao ina maana wanahisi ugonjwa upo kama Asia, Ulaya na Amerika lakini huku vipimo vyetu duni haviuoni.
Sasa utajiuliza mbona hatuoni ongezeko la watu kuuguwa na kufa wenye dalili za ugonjwa huo?

Kwa maana nyingine hawafurahii kwanini sisi hatufi au hatuumwi Coronavirus kama wao.
 
Mbona jangwani wanaugua?
Tehran, Tehran Province, Iran
Tue 12:00, Mostly Sunny
Mostly Sunny

15
°C|°F
Precip: 0%
Humidity: 18%
Wind: 5 mph














14:00
19:00
00:00
05:00
10:00
TUE
Mostly Sunny

17°

WED
Sunny

19°

THU
Mostly Sunny

21°

FRI
Partly Cloudy

20°
12°
SAT
Cloudy

18°
11°
SUN
Mostly Cloudy

18°

MON
Partly Cloudy

18°
10°
TUE
Partly Cloudy

18°
10°
WED
Partly Cloudy

17°
11°
THU
Showers

17°


 
Hata ukipata corona ukakaa juani dk 4 vinapona.
Tazama marekani kuna mahali wanakula bata kuna mahali wanateseka.
Hata mafua ya kawaida kwenye baridi yanachelewa kupona, na mafua ukijikanda na maji ya uvuguvugu tu kibongobongo unapona.

We truly live in ourself, keep it up Africa.

Tazama Zanzibar, muitalia karudi kwao tu kesho yake kasema anacovid. Lakin sisi tunapeta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It may not be measured or tested accurately, but symptoms and signs are accurately seen!!! Africans are not susceptible to serious manifestations of diseases caused by flu viruses including influenza viruses. It 8s as simple as that
CNN bhana! Eti is Coronavirus being accurately measured in Africa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kile kinachoweza tafsiriwa kama mkanganyiko, Nchi za magharibi za zidi kushangazwa kwa nini nchi za Afrika zinaonekana kutoathirika na virusi vya Corona.

Mijadala imekuwa mingi katika nchi hizo, wengi wakihoji ugonjwa ambao mpaka sasa umeshafika katika mabara yote na umekuwa ukisambaa kwa kasi.

Kwa nini kwa Waafrika stori imekuwa tofauti, yaani wagonjwa waliokutwa nao ndo haohao yaani kwa nini hausambai kama ilivyo kwa nchi nyingine. Mijadala imekuwa mingi sana na hata kuibua hisia kali.

View attachment 1382779
Wapambane na hali yao 😂😂😂
 
Hawawezi kwasababu hiyo homa itakuwa Kali sana kwao kama ikiwaingia na lazima tu itawaingia huwenda wakafa wamaisha watakuwa hawachukui round
Huenda wakaingia tena Maabara na kufanya Marekebisho ili kuhakikisha Mtu mweusi nae pia anapata ai wanaweza kutuletea cha Kwetu badala ya Corona kikawa Carina au Alteza, Watu weupe nyoko sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom