Nchi Yetu: Ardhi yetu

654

Senior Member
Feb 1, 2012
172
40
Wakuu, hebu angalieni nukuu hii ya 1958 ya Mwl Nyerere na tuchangie mada juu ya mustakabali wa nchi yetu na Ardhi yetu, mawazo yetu hapa jamvini yanaweza yakainusuru Nchi hii:


image.tiff
 
Wakuu, hebu angalieni nukuu hii ya 1958 ya Mwl Nyerere na tuchangie mada juu ya mustakabali wa nchi yetu na Ardhi yetu, mawazo yetu hapa jamvini yanaweza yakainusuru Nchi hii: 1.jpg
 
Ndani ya CCM hakuna anayethamini tena falsafa ya Mwalimu. Ni kama vile wameingia kwenye nyumba yenye fenicha na kuanza kutupa kila kitu nje bila kujua watatumia fenicha gani. Ukiwauliza watakwamba wafadhili (wageni) watatuletea fenicha mpya. Umemsikia yule naibu waziri akipingana na kauli za Mkapa kule Arumeru kuhusu mashamba waliogawiwa wazungu? Hao ndio CCM.
 
Back
Top Bottom